Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Atapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele😁🔧🔧🔧🔧🔧💯 Heche piga spana naona zimeanza kuwaingia.
Wewe tulikustukia mapema sana! Mamluki we!Atapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele
Mtu unaeamini kuwa CHADEMA ni chama cha "Makafiri" unataka nikujibu nini?Atapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele
Nimekudharau baada ya kumtaja MagufuliNtajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.
Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
Nimekudharau baada ya kumtaja Magufuli
Akili ndogo ikichanganywa na mibangi hupelekea mtu kujiuliza maswali ya kama haya.Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.
Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during lili kampeni hatutamwona.
Joined April 2025Hakuna mwanachadema anaeza toa hoja tatu back to back bila kutukana ...
Ukiongeza hoja tatu mpya naifuta hii ya juu bila kuongeza tusi naacha kutumia JF . LEO.
Haya nambie hizo dharau zako zinakuja vipi baada ya kuskia mtu kajifunza kwanini Magu alikataza mikutano ???
Au ndo kurukia hoja mze. Unadhani na support kufunga kwa mikutano ??
Heb jib bila kutukana mwana CDM ntaacha kutumia JF MIMI.
kundi lenu la kufa na kuzikana maarufu njaa55 linaendeleaje ama Chali.....Atapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele
uchaguzi huo utapewa jina bayasanaNtajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.
Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
uchaguzi huo utapewa jina bayasana
Election without opposition
Joined April 2025
Sio kariakoo tena...Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
View attachment 3313036
Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko
View attachment 3313080
Kweli kabisa polisi mbele halafu ndio CCM inafuata ili ikamilike mbele kwa mbele.Atapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele
Hivi Bashiru bado yupo?Kweli kabisa polisi mbele halafu ndio CCM inafuata ili ikamilike mbele kwa mbele.View attachment 3313109
Hivi Bashiru bado yupo?