PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chamazi, maandalizi yote yamekamilika

PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chamazi, maandalizi yote yamekamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ben+saananee.jpg
mawaaazoo-pic.jpg
Deusdedith-Soka-e1724914476663.jpg
kibao.jpg

Wapinzani mkiwaua hamuwezi kulia si ninyi ndio wauaji.
 
Mtu unaeamini kuwa CHADEMA ni chama cha "Makafiri" unataka nikujibu nini?

Mtu unaesema kuwa Ayatolah awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿

Mimi mtu mdini mdini huwa nampuuza.
Kuna jambo linanitatiza siku hizi, pengine unaweza kusaidia niondokane na ujinga wangu mkuu 'imho'.
Mimi natatizwa na watu wa aina ya huyo Malaria uliyemjibu. Hivi kwa nini watu wa aina hii ndio hasa watetezi wakubwa wa CCM siku hizi. Huko CCM kuna matatizo gani ..., hawa ndio wanakishikilia chama hicho?
Ni swali tu la kijinga linalo hitaji kuelimishwa ili ujinga uniondoke kichwani.
 
Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.

Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
Huna!
 
Kuna jambo linanitatiza siku hizi, pengine unaweza kusaidia niondokane na ujinga wangu mkuu 'imho'.
Mimi natatizwa na watu wa aina ya huyo Malaria uliyemjibu. Hivi kwa nini watu wa aina hii ndio hasa watetezi wakubwa wa CCM siku hizi. Huko CCM kuna matatizo gani ..., hawa ndio wanakishikilia chama hicho?
Ni swali tu la kijinga linalo hitaji kuelimishwa ili ujinga uniondoke kichwani.
Tafiti zilizopita zinasema kuwa CCM inawavutia zaidi watu wasio na elimu, yaani Wajinga Wajinga wasio na uelewa.
 
Ni swali tu la kijinga linalo hitaji kuelimishwa ili ujinga uniondoke kichwani.
Wakati wengine wanafanya Kwa utashi wao binafsi, hao wanafanya ili maisha yaende.

Kifupi kwanza wengi wao ni matipo zaidi ya 10, na wengine kuijibu CHADEMA ndiyo kazi yenyewe hata kama bando lenyewe ni la kuombaomba Kwa viongozi wao huku wakijikomba kupita kiasi.
 
Hakuna mwanachadema anaeza toa hoja tatu back to back bila kutukana ...

Ukiongeza hoja tatu mpya naifuta hii ya juu bila kuongeza tusi naacha kutumia JF . LEO.

Haya nambie hizo dharau zako zinakuja vipi baada ya kuskia mtu kajifunza kwanini Magu alikataza mikutano ???

Au ndo kurukia hoja mze. Unadhani na support kufunga kwa mikutano ??

Heb jib bila kutukana mwana CDM ntaacha kutumia JF MIMI.
Binafsi sijaona "kutukana" unakokuzungumzia hapa, labda kama kuna maana nyingine siku hizi.
Hata hivyo ninakubaliana nawe kwamba unahitaji kujibiwa kwa hayo uliyo andika hapo na kuziita hoja.

Ninakujibu ifuatavyo:
1. Hivi maana ya siasa ni kitu gani mkuu '0005'? Ni sababu zipi hasa zinazofanya pawepo na mikutano ya kisiasa, hadi pawe na ulazima wa kuwepo sheria za kuruhusu mikutano hiyo ifanyike?

Unasema Magufuli alipiga marufuku; kwa sheria gani aliyotumia kupiga marufuku. Ndani ya Katiba ya nchi hii unajuwa uwepo wa kifungu kinacho ruhusu kufanyika kwa siasa? Ni nani aliye na wajibu wa kupangia wengine ni wakati gani pawepo na mikutano ya siasa; kuna sheria inayo elekeza hivyo?
Magufuli alikuwa na hitaji la kutii Katiba, aliyoapa kuilinda akiwa rais wa nchi; lakini yeye kajiamuria kuikanyaga badala ya kuilinda, halafu unataka tumsifu kwa kufanya hivyo?

Sasa bila ya kukuchosha na jibu refu sana, nikusisitizie tu kuwa sote raia na viongozi wetu wote tunatakiwa kuheshimu sheria zilizopo; kama hatuzipendi, kuna taratibu za kuzirekebisha, lakini tusikubali kiongozi kujitungia tu na kufanya anavyotaka mwenyewe. Huo siyo uongozi.

Kushiriki au kutoshiriki kwa CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujayo na kufanya mikutano siyo swala la maamuzi ya CCM na serikali yake. Ni swala la sheria. Kwa hiyo usikimbilie kuhukumu kama CHADEMA hawatashiriki au hawashiriki wakati huu. Bado kuna maswala mengi ambayo hayana majibu; ikiwa ni pamoja na kutokuwep;o uchaguzi moja kwa moja.
Kwa hiyo hitimisho lako hapo juu ni BATILI. Ni kutoelewa maswala husika.
 
Tafiti zilizopita zinasema kuwa CCM inawavutia zaidi watu wasio na elimu, yaani Wajinga Wajinga wasio na uelewa.
Sikubaliani na jibu moja kwa moja.
Kwa mfano: Huyo mtu uliye mjibu, 'Malaria", hata ungempeleka kwenye chuo kama Harvard vile na kumpa elimu kistadi sana iwezekanavyo, mtu wa aina hiyo huwezi kumbadili msimamo. Kuna watu wengi sana huko ndani ya CCM siku hizi.
 
vurugu ...
Kashfa ...
Jazba .....

Leo Slaa mbaya ... Kesho mbowe mbaya.

Leo huyu dikteta.
Kesho huyu kanunuliwa na CCM.

Leo hatuhitaji Mariano kesho tutashiriko uchaguzi ikiwa tutaridhiana.

Leo mkurugenzi (ni KAMANDA) anaaapiga nyundo CCM kesho ... Tulikua tu alikuwa virus.

Mimi Sio mwana Siasa Ila ntajifunza mengi Sana kwa watu wa Chadema ... Naona Kuna kitu wanakosa ...

Nacho kinaitwa HEKIMA.
Ila CCM ndio wenye hiyo hekima.
Shida mojawapo ya wanaCCM ni kujitangaza eti hawana chama lakini hawaiongelei CCM kwa uovu wake, kutwa kuchwa ninyi msio na chama wala msiojishughulisha na siasa ni kuona makosa ya CHADEMA tuu, inashangaza sana!
 
Sikubaliani na jibu moja kwa moja.
Kwa mfano: Huyo mtu uliye mjibu, 'Malaria", hata ungempeleka kwenye chuo kama Harvard vile na kumpa elimu kistadi sana iwezekanavyo, mtu wa aina hiyo huwezi kumbadili msimamo. Kuna watu wengi sana huko ndani ya CCM siku hizi.
Nina imani angebadilika.
 
Ila CCM ndio wenye hiyo hekima.
Shida mojawapo ya wanaCCM ni kujitangaza eti hawana chama lakini hawaiongelei CCM kwa uovu wake, kutwa kuchwa ninyi msio na chama wala msiojishughulisha na siasa ni kuona makosa ya CHADEMA tuu, inashangaza sana!


Nyuzi zinazoihusu CCM huwa tunaisema kwa nafasi yake. ....

Ila hoja zake ni zakimaendeleo zaidi badala kutukana na kukebehiwa endapo utatoa mawazo yako sawa na nyuzi za wanachadema ...

Binafsi nimeikosoa CCM juu ya miradi ya kimkakati Kama vile
1. Gesi
2. Makaa ya mawe
3. Chuma
4. Wanyama na mazao ya misitu.
5. Mfumo wa Ajira na elimu.

Nimeyasema hayo kwa mifano tu .. ukitaka nikupe miongoni mwa references nilizokisema chama na serikali ntakupa hata pdf ....

Ni mruhusu Niki pm Kama ni muhim na tungeenda kujua. As copy za pdf huwa naandika na taarifa binafsi ikiwepo majina yang na mawasiliano so siwez share hapa.

(((Changamoto kuu bila kupotea kwenye rengo .. Chadema hawajaona umuhim wa kuvuta utulivu na KUCHUKULIANA wao kwa wao.

Yani wanatukanana na hata watu wa nje wanawatukana hivyo hivyo ..

Matokeo yake they give them selves so little time to discuss important strategic agendas. ..
Na hata katika platforms Kama hizi ambazo ndizo za kuuzia sera zenyu kwa vijana bado mda wa kuomgelea agenda hatupati sabab tukiongea sentensi mbili lazima mtukane ...

Yani lazima muharib mjadala. ))
 
Wakati wengine wanafanya Kwa utashi wao binafsi, hao wanafanya ili maisha yaende.

Kifupi kwanza wengi wao ni matipo zaidi ya 10, na wengine kuijibu CHADEMA ndiyo kazi yenyewe hata kama bando lenyewe ni la kuombaomba Kwa viongozi wao huku wakijikomba kupita kiasi.
Kwa ufupi: ni swala la fursa/maslahi!
Nina imani angebadilika.
Tatizo la mtu kama 'Malaria na wengine wa aina hiyo si ukosefu wa elimu unaowasumbua.
 
Back
Top Bottom