WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
CCM hawapendi hivi.Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
View attachment 3313036
Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko
View attachment 3313080
Kila Ubaya utalipwaView attachment 3313152View attachment 3313153View attachment 3313154View attachment 3313155
Wapinzani mkiwaua hamuwezi kulia si ninyi ndio wauaji.
Kuna jambo linanitatiza siku hizi, pengine unaweza kusaidia niondokane na ujinga wangu mkuu 'imho'.Mtu unaeamini kuwa CHADEMA ni chama cha "Makafiri" unataka nikujibu nini?
Mtu unaesema kuwa Ayatolah awe Raisi wa Tanzania ๐น๐ฟ
Mimi mtu mdini mdini huwa nampuuza.
NO reform lazima.mzae nayo mwaka huu..dadeqAtapiga kelele mpaka azeeeke, ccm mbele kwa mbele
๐๐๐๐
Huna!Ntajifunza mengi Sana kwa kuangalia the way politics zetu zinaenda.
Saiv nimeelewa kwanini mjomba Magu alikataza mikutano ya siasa mda ambao si wa kampeni na/au mtu kutoka kufanya mikutano ya siasa nje ya Jimbo analolitumikia.
Lakini pia najiuliza kipyenga kikipulizwa then Chadema akawa hajaorodheshwa kat ya washiriki. Mikutano yake itaendelea au ndo saiv anafanya mikutano ya lala salama moja kwa moja as during kampeni hatutamwona.
Tafiti zilizopita zinasema kuwa CCM inawavutia zaidi watu wasio na elimu, yaani Wajinga Wajinga wasio na uelewa.Kuna jambo linanitatiza siku hizi, pengine unaweza kusaidia niondokane na ujinga wangu mkuu 'imho'.
Mimi natatizwa na watu wa aina ya huyo Malaria uliyemjibu. Hivi kwa nini watu wa aina hii ndio hasa watetezi wakubwa wa CCM siku hizi. Huko CCM kuna matatizo gani ..., hawa ndio wanakishikilia chama hicho?
Ni swali tu la kijinga linalo hitaji kuelimishwa ili ujinga uniondoke kichwani.
Wakati wengine wanafanya Kwa utashi wao binafsi, hao wanafanya ili maisha yaende.Ni swali tu la kijinga linalo hitaji kuelimishwa ili ujinga uniondoke kichwani.
Ushahidi huu hapaTafiti zilizopita zinasema kuwa CCM inawavutia zaidi watu wasio na elimu, yaani Wajinga Wajinga wasio na uelewa.
Ni kweli % kubwa Ruvuma waliamini CCM ni dini ya Mungu, hadi pale Chadema ilipokuja kuwafungua akiliNasikia ccm walipoona Ruvuma wanamwelewa LISSU walipigwa butwaa kwani huo ni kati ya ile mikoa inayoamini UKIWA SI MWANACCM UKIFA UNAENDA MOTONI
Binafsi sijaona "kutukana" unakokuzungumzia hapa, labda kama kuna maana nyingine siku hizi.Hakuna mwanachadema anaeza toa hoja tatu back to back bila kutukana ...
Ukiongeza hoja tatu mpya naifuta hii ya juu bila kuongeza tusi naacha kutumia JF . LEO.
Haya nambie hizo dharau zako zinakuja vipi baada ya kuskia mtu kajifunza kwanini Magu alikataza mikutano ???
Au ndo kurukia hoja mze. Unadhani na support kufunga kwa mikutano ??
Heb jib bila kutukana mwana CDM ntaacha kutumia JF MIMI.
Sikubaliani na jibu moja kwa moja.Tafiti zilizopita zinasema kuwa CCM inawavutia zaidi watu wasio na elimu, yaani Wajinga Wajinga wasio na uelewa.
Ila CCM ndio wenye hiyo hekima.vurugu ...
Kashfa ...
Jazba .....
Leo Slaa mbaya ... Kesho mbowe mbaya.
Leo huyu dikteta.
Kesho huyu kanunuliwa na CCM.
Leo hatuhitaji Mariano kesho tutashiriko uchaguzi ikiwa tutaridhiana.
Leo mkurugenzi (ni KAMANDA) anaaapiga nyundo CCM kesho ... Tulikua tu alikuwa virus.
Mimi Sio mwana Siasa Ila ntajifunza mengi Sana kwa watu wa Chadema ... Naona Kuna kitu wanakosa ...
Nacho kinaitwa HEKIMA.
Nina imani angebadilika.Sikubaliani na jibu moja kwa moja.
Kwa mfano: Huyo mtu uliye mjibu, 'Malaria", hata ungempeleka kwenye chuo kama Harvard vile na kumpa elimu kistadi sana iwezekanavyo, mtu wa aina hiyo huwezi kumbadili msimamo. Kuna watu wengi sana huko ndani ya CCM siku hizi.
Ila CCM ndio wenye hiyo hekima.
Shida mojawapo ya wanaCCM ni kujitangaza eti hawana chama lakini hawaiongelei CCM kwa uovu wake, kutwa kuchwa ninyi msio na chama wala msiojishughulisha na siasa ni kuona makosa ya CHADEMA tuu, inashangaza sana!
Kwa ufupi: ni swala la fursa/maslahi!Wakati wengine wanafanya Kwa utashi wao binafsi, hao wanafanya ili maisha yaende.
Kifupi kwanza wengi wao ni matipo zaidi ya 10, na wengine kuijibu CHADEMA ndiyo kazi yenyewe hata kama bando lenyewe ni la kuombaomba Kwa viongozi wao huku wakijikomba kupita kiasi.
Tatizo la mtu kama 'Malaria na wengine wa aina hiyo si ukosefu wa elimu unaowasumbua.Nina imani angebadilika.