PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chamazi, maandalizi yote yamekamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umejiunga tarehe 12 mwenzie huu tayari umeshakosoa makosa yote ya CCM yangu ikiitwa Tanu, hakika wewe ni Mpakwa Mafuta wa Bwana
 
Mimi ndugu 0005 , naongela yale tunayoyaandika hapa Jamii Forums, na si nnje ya hapa.
Kuna binti yangu mmoja aliwahi ona tablet yangu ikiwa JF app ipo on display na ID yangu, alichoshangaa ni kwamba ile misimamo yangu ninayoiishi, ndiyo ile ninayoiweka humu jukwaani.
Hii forum ni nzuri sana kama hatutakuwa waoga katika kushauri, kwani tuna uhuru wa kutumia ID fake, hivyo kutokuwa na haja ya kuogopa kuonwa kuwa na msimamo tofauti na huko uraiani.
 
All in all .... CHADEMA ni political organization muhim Sana hapa TZ. bila yenyewe kimsingi CCM italala Sana na fikra za watu in general zotabalia gizani, sabab Chadema inauwezo na responsibilities za kuikosoa na kujishauri serikali Huku ukiendelea kuhamasisha umma juu ya mabadiriko ktk Kila lile linalokosewa na chama tawala.

Kijana Kama Heche (nazikubar Sana hoja zake)
Mfano Mdogo ni juu ya mtazamo wake wa juu ya Hali ya uchumi wa taifa , akikosoa issues zinazoendana na sera za kilimo mbovu, Manunuzi ya bidhaa za nje ambazo tu geweza kuzarisha wenyewe,
Kukosekana kwa Ajira ili Hali tuna Kila fursa ambayo ingetuwezesha kuajiri vijana wetu.

Heche anaeongelea juu ya WEREDI na uwajibikaji wa serikali na Viongozi wa umma in general Huku Sheria na katiba ikiheshimiwa vyema kwa kulinda haki na maslahi ya wananchi.

Lissu MWAMBA Sana. Ameanza harakat toka yupo chuo. (Akiwa yupo chama tofaut Cha siasa na sio CDM)

Jama anasimamia misingi ya where'd na uwajibikaji wa Viongozi na watumishi wote wa umma.

Sasa wazee. Vitu Kama hivi havionhelewi Huku sabab ya ugomvi wa ndani ya chama na nje ya chama.

Tunapo wakosoeni mna fuuujura. Sasa mtakufa na mema yenu. Tutawazika mtaoza na funza zitawala vile vile . Sawa na watakavyolowa CCM.
 
Sawa hongereni kw kutaka kutuharibia nchi yetu wakati familia zenu zipo ulaya na nyie mna miliki ma passport mawili.mawili
 
Vijana wa CCM hawana critical thinking .. wao ni watu wa ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI ...

Hata Jambo la kujisimamia tofaut na chama kikabadili msimamo sabab vijana wamesema wao hawawezi kabisa kujisimamia. ...

Rais ameanzisha Kodi kwa Kila mwenye laini ya simu ...
Vijana: TU AMLONGEZA RAIS KWA KODI YA KIZARENDO.

Rais amefuta Kodi ya lain za sim.
Vijana: TUNAMPONGEZA RAIS KWAKUFUTA KODI KANDAMIZI KWA WANANCHI.

shida ni kuwa vijana Hawa tukosema wake pamoja waelimishane . Wanaanza kutukana. ...

Kutukana ni ishara ya kukosa uthabiti wa hoja zako.
 
Tangu kesi ya Lissu ianze humu ndani wao ni kuporomosha mitusi tu utadhani kiongozi wao ndiye kafungwa.
 

I can tell kua nahisi nimekosa kazi sehem sabab ya hiyo ID niliyoacha kuitumia. .... Things are tough in this country ....

Af Chadema wanaacha kumchapa mchawi
Wapo wanachapana wao kwa wao .. like serious ??????

Na ukitoka mapendekezo waache hizo tabia still wanatukana. (Ivi WANAJUA wanachopambania au wanapambana Bora liende)
 
Kilaza wa Samia utaelewa nini! Heche ni kiongozi wa kitaifa wee πŸ• hata hilo hulijui!
 
Wee πŸ• wa Mama nenda kafagie kaburi la shetani Magufuli!
 
huyu nae alikuwepo chamazi? aliyewapeleka huko kawalengesha kwenye gema, chamazi labda umpeleke bhakresa ndo watakuelewa
Siku utamuona huyo umtakaye
 
Huwezi siasa wee 🐷! Vilaza wa Samia kazi kupongeza ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…