Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Huko Kagera bukoba kimenukaaaHii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe.
Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
View attachment 3329166
Noma sanaHuko Kagera bukoba kimenukaaa
Nshomile wametishaaNoma sana
Vipi imekuwaje wajameni,kwani kagera walikuwepo lini?Nshomile wametishaa
CDM ni kama maji tu usipoyanywa utayaoga, licha ya fitna na ujinga wa kitoto wa CCM ila chama bado linakata mawimbi kwa speed ya fighter jetsHii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe.
Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
View attachment 3329166
CDM Wabishi aiseeHii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe.
Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
View attachment 3329166
A winner is a dreamer who never gives up - Nelson MandelaCDM Wabishi aisee
HakikaCDM ni kama maji tu usipoyanywa utayaoga, licha ya fitna na ujinga wa kitoto wa CCM ila chama bado linakata mawimbi kwa speed ya fighter jets
NRNE akaNo Reform no election
Mzanzibari sukari inazidi kupanda akiangalia watu wanavyozidi kuikubali No Reforms No Election.Huko Kagera bukoba kimenukaaa
Brenda ameolewa? Nimeuliza tuHii ndio Taarifa ya Dharula iliyotufikia hivi Punde, kwamba baada ya Matangazo kutolewa kwamba Chadema itakuwa na Mafundisho kwa Raia kuhusu Neema ya No Reforms No Election hapo Chato, Raia Wamelipuka kwa shangwe.
Wengi wameahidi kukesha kusubiri Mtanange wa Chadema.
View attachment 3329166
Siyo Katiba inayoruhusu; au nayo utasema ni yeyendiye anachagua kipi kiruhusiwe kwenye katiba hiyo.Jambo zuri NI kwamba Samia aliruhusu mikutano ya siasa.
Kwa hiyo Dr. unakulaga manesieeHuwa naburudika sana Nikiona nyumbu humu wanavyohangaika kufungua vithreads Kila dakika halafu kuanza kujibishana wenyewe tu......yaani unakuta nyumbu watatu au wanne wanajibishana weeee mpaka kesho🤣🤣🤣
Namkumbuka yule beki wetu aliyetaka kuonyesha manjonjo ya kuucheza mpira wakati wa mechi; aliuchukua mpira akapiga danadana mbili tatu mara akaubetua juu unarudi chini ile anataka kuutuliza akaukosa mpira ukadunda na kuondoka zake ikabidi beki aanze kuukimbiza.........aliukosa ukatoka ukarushwa kwetu na tukafungwa.
😀😀Kwa hiyo Dr. unakulaga manesiee