Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwa miaka mingi watu walishachoka kupiga kura za maigizo. Chadema imewaletea movement mwafaka waliuhitaji kwa mida mrefu lakini hakuna chama kilikuwa tayari kugomea/ kuzuia uchaguzi fake.Hapa Kuna kundi linalokubalika na wengi na lisilokubalika.
Ila vijana wengi hawatopiga kura. Hata kabla ya hiyo ajenda ya CDM watu walishakata tamaa kutokana na mambo kadhaa