PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chato Mkoani Geita, Wananchi Wakesha kuisubiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapa Kuna kundi linalokubalika na wengi na lisilokubalika.
Ila vijana wengi hawatopiga kura. Hata kabla ya hiyo ajenda ya CDM watu walishakata tamaa kutokana na mambo kadhaa
Kwa miaka mingi watu walishachoka kupiga kura za maigizo. Chadema imewaletea movement mwafaka waliuhitaji kwa mida mrefu lakini hakuna chama kilikuwa tayari kugomea/ kuzuia uchaguzi fake.
 
😆😆😆😆
 
Hii ndio CDM ya asali na maziwa
 
cdm haina tena central command ni one man show, ni kuhudi za mtu mmoja mmoja ni rahisi sana kuzidhibiti
 
Jambo zuri NI kwamba Samia aliruhusu mikutano ya siasa.

Tuwaombe Kwa mwenyezi Mungu Hawa viongoz WA cdm wanafanya kazi kubwa Sana licha ya kamanda Wao TL kuwa ndani wao bado wanaendeleza mapambano

CDM 💪 moja
Samia sio mtoa kibali cha mikutano , mikutano inaruhusiwa na katiba ila jeshi la polis linaombwa uangaliz japo hawafany hvyo

Wajing ndo mtaji wa ccmu na Samia
 
kaa kwa kutuliza wewe dawa iingie!
 
Leo umekumbuka No Election umesahau maombi yako kwa wazungu yale ya Mungu wabariki wazungu
 
Leo umekumbuka No Election umesahau maombi yako kwa wazungu yale ya Mungu wabariki wazungu
Ila watu weus akil sufur elf 5 inakufanya usahau mamb muhimu mf Maji , Umeme , Ulinz , elimu bora na njia bora za uchukuzi

CDM wanapambania nguv ya kura na maoni yako ambayo ccmu wameyaminya

Wafuasi wa ccmu bado ni watumwa wakifikra
 
Sawa, nyie endeleeni kuomba Mungu Wabariki Wazungu huo sio utumwa wa kifikra
 
cdm haina tena central command ni one man show, ni kuhudi za mtu mmoja mmoja ni rahisi sana kuzidhibiti
Siasa za Vyama vingi ziko kikatiba kwanini "kuzidhibiti"?Vyama vinatakiwa vipewe ulinzi na dola kama vile CCM inavyolindwa acheni siasa zenu primitive.
 
mnajitekenya na kucheka wenyewe daaa aisee kazi mnayo ccm mbelekwambeleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…