No Reforms No Election yaingia Kanda ya Pwani, moto ule ule wa Kanda zilizopita kuendelea kuunguza

No Reforms No Election yaingia Kanda ya Pwani, moto ule ule wa Kanda zilizopita kuendelea kuunguza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.

Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu

Screenshot_2025-04-14-22-56-10-1.png
 
Ratiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.

16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA

17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI

19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.

22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA

23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO
 
Ratiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.

16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA

17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI

19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.

22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA

23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO

Tanzania mpya inakuja, Mungu amesharuhusu!

AMEN
 
Dar es Salaam na Pwani inaenda kuchemka na kuwa moto wa kukiunguza chama dola kongwe tawala.

Masantula "Mtoto wa mjini"​

Dar es Salaam yachemka kama bahari - Wazee waliimba kutabiri 2025. Hii yote Ni No Reforms tucheze wote No Election ...

Masantula " Mtoto wa Mjini, hii Ngoma No Reforms No Election Dar Yachemka kama bahari .."

View: https://m.youtube.com/watch?v=gwlhjvzJamE
 
Ratiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.

16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA

17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI

19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.

22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA

23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO
Mbona sisi watu wa madale mnaturuka sana, Kila mara maeneo hayo hayo yanajiludia. Washaurini viongozi wafike na maeneo mengine sio Kila siku mule mule. Wasisite kwenda maeneo ya pembezoni maana huko ndiko watu wanahitaji ukombozi
 
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.

Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu

Tunaisubiriiii... Wiki hii Kilingeni siendiii
 
Back
Top Bottom