Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wa niniNashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
Ndiyo plani yenu kumfungulia Lissu kesi ya uhaini ili mumrudishe mtu wenu,imekula kwenu.Nashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
Usiondoke JFWeka taarifa Yako ieleweke kirahisi Kuna watu wanataka mbali wanataka wahudhulie huo mkutano.
Mf: kibamba sehemu gani? Muda Gani? Kiwanja Gani?
Nashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
Ni juu yako kuchagua Neema au LaanaKanda ya Pwani kuna mbio za Mwenge wa Uhuru
Unateseka Kutokea wapi? 😂😂😂😂😂😂Nashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
Ratiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.
16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA
17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI
19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.
22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA
23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO
Huyu ukiwa unalala naye wewe si inatosha?Nashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
OkUsiondoke JF
Nitakuwepo hapo 👆1. TEMEKE
Mbona sisi watu wa madale mnaturuka sana, Kila mara maeneo hayo hayo yanajiludia. Washaurini viongozi wafike na maeneo mengine sio Kila siku mule mule. Wasisite kwenda maeneo ya pembezoni maana huko ndiko watu wanahitaji ukomboziRatiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.
16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA
17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI
19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.
22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA
23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO
Tunaisubiriiii... Wiki hii Kilingeni siendiiiTaarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.
Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu
Imekaa njema sanaRatiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.
16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA
17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI
19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.
22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA
23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO