Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hicho cheo ni kikubwa sana, sinacho mkuuAhsante afisa wa habari wa chadema hapa jf
Laana hiyo iwapate na waliowatumaMimi hakuna msiba ulio niumiza kama wa huyo mzee jamanii laana iwafikie walio tena ukatili ule na vizazi vyao vyote cha kwanza mpaka cha mwisho.
Yaani walio toa wazo,walio watuma mpaka walio shiriki laana hii isiishie kwa wao naomba ifike mpaka wa vizazi vyao.Laana hiyo iwapate na waliowatuma
AmenYaani walio toa wazo,walio watuma mpaka walio shiriki laana hii isiishie kwa wao naomba ifike mpaka wa vizazi vyao.
Akina Heche wakitoka au kuchoka tunaingia Rasmi...bado naweka uchumi wa vijana kuwawezesha kwenda nje kusoma...Chadema ni Mapafu ya Mbwa Mwitu, Hawachoki
wote mimi wameniua moyo wangu, chaula soka, MDUDE etc etc masikini!Mimi hakuna msiba ulio niumiza kama wa huyo mzee jamanii laana iwafikie walio tenda ukatili ule na vizazi vyao vyote cha kwanza mpaka cha mwisho.
Kuna mtu alisema kifo ni kifo tuHii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu Waliotumwa na Wakubwa, ukifuatiwa na dua za kumuombea.
View attachment 3352901View attachment 3352903View attachment 3352904
Chadema ilipata wasaa wa kumtembelea mjane wa Marehemu nyumbani kwake
View attachment 3352905
Hivi huyo kaka si walisema yuko mzima kuna mahali amefichwa au nae tayari Wame muuwa.wote mimi wameniua moyo wangu, chua soka, MDUDE masikini!