MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Lini watafika korogwe na handeni?Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu Waliotumwa na Wakubwa, ukifuatiwa na dua za kumuombea.
View attachment 3352901View attachment 3352903View attachment 3352904
Chadema ilipata wasaa wa kumtembelea mjane wa Marehemu nyumbani kwake
View attachment 3352905