PreGE2025 'No Reforms, No Election' yaingia Tanga Mjini. Wananchi wakumbushia Mauaji ya Ally Kibao, CHADEMA yamtembelea Mjane wa Marehemu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lini watafika korogwe na handeni?
 
nilikuwepo mkutano huu...
strange leo tanga wameitikia maana tanga si wa hivyo kwenye siasa ...waoga,
 
Imagine huyo mjane kila siku anaskia sauti ikisema "Kifo ni kifo"
 
Mahesabu ya Wakubwa yameenda vibaya, walidhani akikamatwa Lissu basi ndiyo mwisho wa NRNE

Hapo hakuna waliobebwa na malori kuja kuhudhuria huo Mkutano kama wafanyavyo upande wa pili πŸ‘Š
 
Hivi huyu mzee tena wa familia aliwakosea nini Hadi mumtoe uhai? Watoto wake wanawaza nini ? Hakuna namna nyingine ya kufanya lazima mtoe uhai
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Gentleman,
ni ni vizur zaidi ukamuuliza heche na walinzi wake katili sana ambao huenda walikusudia kumfanya hivyo hivyo Sigrada Mligo pale njombe πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…