Bhaghosha
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 240
- 197
1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote.
2. Matumizi mabaya ya serikali. Toeni mifano halisi kwa nini pesa ya wanainchi inavyoliwa. Tumieni mifano rahisi kueleweka lakini inayotia uchungu na kupandisha mori (Review hotuba ya Mtikila pale jangwani na magabacholi. Wanainchi walipandisha mori sana. Heche na timu yake mnaweza hili)
3. Heche, Rudia sana message za hisia kama iliyowaliza wana Mbeya
4. Tolea mifano ya nchi za Africa zilizofanikiwa kama Botswana. (serikali inaunda umoja wa vijana, inawapa mitaji, inawasimamia hadi wanasimama, inawapa soko na guarantee) kampuni za utalii, madini, viwanda vidogo vidogo nk.
5. Zungumzieni kwa nguvu Kodi za kausha damu. Na kinachopatikana, serikali inaishia kutapanya kwa matumizi ya anasa.
6. Msisite kuzungumzia ubadhilifu kwa kuuonyesha. Isiishie kwenye Goli la Mama.
7. Muhusishe Bandari, KIA, Carbon credit, na waarabu. Why waarabu sasa.
8. Ikosoe CCM kwa kukosa muelekeo. Why katika awamu hii Baraza la mawaziri linapangwa kwa upendeleo. How come mkoa wa Pwani, na ukanda wa Pwani of all kwa mikoa unakuwa na mawaziri zaidi ya watano tena kwenye wizara Nyeti. Nini kimewasibu CCM na bunge kwa ujumla nk nk nk (hapa lengo ni kuileta hasira hata kwa CCM wenyewe)
So far kazi ni mzuri nawatakia kazi njema