Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hivi huyu Malaria2 hana tatizo la akili?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amsterdam haipo ubegeljiMuda si mrefu Lissu atakikimbia chama na kwenda kuishi na Amsterdam huko Ubeleji. Ni muda tu mfupi ujao. Wote ninyi nyumbu wa Lissu mtakimbia humu JF.
NdioHivi huyu Malaria2 hana tatizo la akili?.
Unakududia nimeingia ukiristo? Allah aniepushe kuwa mkiristo na asipe hata wazo la kufikiria tu kuingia huko. Nawashauri wote waliokuwa hawajaingia ktk uislam wafanye hivyo haraka kabla ya umauti haujamfika mtu, twendako baada ya kufariki ni kuzito. Pekee ataesalimika ni muislamu tena sio muislam blablablaaToka umeacha Uislamu na kuanza kula nguruwe umekuwa mbea sana
Akikujibu nistue Mkuu🤣🤣🤣kwami bado kuna migawanyiko na uhasama baina ya timu mbowe na timu lisu? uchaguzi si umekwisha gentleman?
kwahiyo vita ndani ya chadema kwasasa ni kubwa zaidi hata ya kabla ya uchaguzi right?🐒
Wakuu mnapambana sana....No reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda.
Kampeni inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya ‘No reforms, no elections’ ikimaanisha “Bila mabadiliko, hakuna uchaguzi”, imewaweka njiapanda baadhi ya viongozi na makada wa chama hicho.
Wanaobaki njiapanda, ni makada ambao kwa namna moja au nyingine wana nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025 kusaka udiwani, ubunge na hata urais, ambao wanaingia hofu ya kukosa fursa hiyo.
Makada hao hawajui iwapo wajiandae kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho au waendelee kuwa wasikilizia kauli ya chama iliyosisitizwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwamba kwa sasa nguvu kubwa zinaelekezwa kwenye kupigania mabadiliko ya mifumo ya kiuchaguzi na si vinginevyo.
Wakati Chadema ikiendelea kujiuliza na kupigania mabadiliko, vyama vingine vinaendelea na maandalizi ya uchaguzi. Mathalan, ACT Wazalendo kimeshatangaza wanaotaka kuwania udiwani, ubunge, uwakilishi na urais wajitokeze na kutangaza nia.
Tayari Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud ameweka nia kuwania urais Zanzibar na Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu ametamgaza kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chama tawala CCM kimekwishapitisha wagombea wake wa uraia; Rais Samia Suluhu Hassan (muungano) na Dk Hussein Ali Mwinyi (Zanzibar). Dk Emmanuel Nchimbi amepitishwa kuwa mgombea mwenza wa Rais wa Tanzania.
Msimamo wa Chadema
Kwa nyakati tofauti Lissu aliyeshika wadhifa huo Januari 22, 2025, amekuwa akisisitiza dhana hiyo, kuwa iwapo hakutakuwa na mabadiliko kwenye mfumo wa kisheria, Chadema itafanya kila linalowezekana kuhakikisha uchaguzi haufanyiki.
“Hatuzungumzii kususuia uchaguzi, hatutasusia bali tutaenda kuwaambia Watanzania, jumuiya ya kimataifa na walimwengu kwamba kama CCM na Serikali hawako tayari kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi ili kuwepo chaguzi huru na haki, uchaguzi wa mwaka huu usifanyike kabisa,” alisema Lissu katika moja ya hotuba zake.
Soma Pia: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Majibu ya Serikali
Msimamo huo umemwibua Katibu Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi ambaye anasema kwa ajuavyo yeye mageuzi yalikwishafanyika.
“Mimi nimeona mageuzi yapo, sasa kama mwenzangu hayaoni, hata ukitwambia hakuna uchaguzi, wewe unayezuia kwani ndiye unayechagua pekee? Uchaguzi unafanywa na wananchi na ndio wanaopiga kura,” amesema Maswi.
Source: gazeti la mwananchi mtandaoni
Hao wapiga mbadili wa Chadema kama hawatakuja uchaguzi sisi Act wazalendo tutashirikiNo reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda.

kabisaMachawa wa Mbowe waliahidiwa Ubunge .Kwa LISSU hamna Ubunge wa kindezindezi
acha mawazo ya kijingaMuda si mrefu Lissu atakikimbia chama na kwenda kuishi na Amsterdam huko Ubeleji. Ni muda tu mfupi ujao. Wote ninyi nyumbu wa Lissu mtakimbia humu JF.
Mbona unakula nguruwe sasa?Unakududia nimeingia ukiristo? Allah aniepushe kuwa mkiristo na asipe hata wazo la kufikiria tu kuingia huko. Nawashauri wote waliokuwa hawajaingia ktk uislam wafanye hivyo haraka kabla ya umauti haujamfika mtu, twendako baada ya kufariki ni kuzito. Pekee ataesalimika ni muislamu tena sio muislam blablablaa
Mkuu umeelewa nilichoandika kweli?Amsterdam haipo ubegelji
Ahahahahaha!!!acha mawazo ya kijinga
Himo Mkoa wa Kilimanjaro.Njia panda Ndio iko Mkoa gani? 🐼
Transitional period ya uongonzi Chadema imeikuja wakati wa saa mbaya za majeruhi kuelekea uchaguzi mkuu.cha kushangaza zaidi ni pale ambapo,
anaye ielewa agenda hiyo ni mwenyekiti wa chadema Taifa pekeyake,
viongozi na wanachadema wengine ni kama wako confused wameduwaa hawaelewi na hawajui hata nini cha kuhubiri vijiweni kuhusu hilo 🐒
Kumbe mwananchi ishanunuliwa? Inamaana wameshasahau mwenzao azory alivyoliwa na fisi?CCM na vyombo vyenu mnahaha sana na propaganda zenu mfu. Nunueni vyombo vya habari vyote kama mlivyowanunua hao Mwananchi ila jueni tu hamtofanikiwa kuwarubuni Watanzania this time.
Watanzania washawajua na mbinu zenu za kutumia propaganda ili kuwaondoa kwenye hoja za msingi na this time wameamka kweli.
Hicho kipeperushi cha Mwananchi kitaendelea kuwapiga hela zenu na hao wajinga wa TISS ILA Watanzania tumeshasema No Reform No Election!
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.No reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda.