Pre GE2025 No reforms, no elections’ yawaweka CHADEMA njiapanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Toka umeacha Uislamu na kuanza kula nguruwe umekuwa mbea sana
Unakududia nimeingia ukiristo? Allah aniepushe kuwa mkiristo na asipe hata wazo la kufikiria tu kuingia huko. Nawashauri wote waliokuwa hawajaingia ktk uislam wafanye hivyo haraka kabla ya umauti haujamfika mtu, twendako baada ya kufariki ni kuzito. Pekee ataesalimika ni muislamu tena sio muislam blablablaa
 
kwami bado kuna migawanyiko na uhasama baina ya timu mbowe na timu lisu? uchaguzi si umekwisha gentleman?

kwahiyo vita ndani ya chadema kwasasa ni kubwa zaidi hata ya kabla ya uchaguzi right?🐒
Akikujibu nistue Mkuu🤣🤣🤣
 
Wakuu mnapambana sana....
 
Hao wapiga mbadili wa Chadema kama hawatakuja uchaguzi sisi Act wazalendo tutashiriki
 
Mbona unakula nguruwe sasa?
 
cha kushangaza zaidi ni pale ambapo,
anaye ielewa agenda hiyo ni mwenyekiti wa chadema Taifa pekeyake,

viongozi na wanachadema wengine ni kama wako confused wameduwaa hawaelewi na hawajui hata nini cha kuhubiri vijiweni kuhusu hilo 🐒
Transitional period ya uongonzi Chadema imeikuja wakati wa saa mbaya za majeruhi kuelekea uchaguzi mkuu.
Ukitema nchale,ukimeza nchale.
Yaani wakisusia ni hasara kwao,wakishiririki bila reform watabezwa vile vile.
Option ya kuzuia election kutoka kwa Bwana Amsterdam kwenda kwa CCM chama ndungu na China ya Xi ni kichekesho.
Muda ni namba,usishangae vigogo wa Chadema wakajiunga na vyama vingine kutafuta udiwani,ubunge na hata Uraisi endapo Chadema itasusia uchaguzi.
 
Kumbe mwananchi ishanunuliwa? Inamaana wameshasahau mwenzao azory alivyoliwa na fisi?
 
Kuhadaa na kuchochea wanainchi kupoteza haki na uhuru wao wa kuchagua na kuchaguliwa kua viongozi kwenye maeneo yao kupitia uchaguzi mkuu wa kikatiba nchini kwasabb tu wewe kama kiongozi wa chama cha siasa unapitia ukata wa fedha na huna uwezo wa kiuchumi kufanya kampeni nchi nzima,

ni utapeli kurubuni wengine wasitumie uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki zoezi hilo muhimu sana la kihistoria, bali kuwachochea kupoteza haki hizo 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…