Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 889
The argument over minority representation or gender balance haijaanza Tanzania na itaendelea kwa miaka mingi nchini kwetu.
Nadhani tukizungumzia 'affirmative action' ni kitu kizuri as long as it provides opportunities and does not reward someone just because they belong to a certain gender, class or race.
Tatizo la 'affirmative action' ya JK kwa mfano ilikuwa ni hilo la kulipa fadhila na at the same time kutaka kuonekana eti anawatetea akina mama. Aliyewaweka wananwake big percent to head ministries ni wale ambao walikuwa wananmtandao some exc exception like Mary Nagu, but then hayo mambo ya chama.
On the other hand I am more happy to hear recent c hanges alizofanya kama ile ya kupromote wananwake kuwa wakurugenzi katika Wizara ya Maliasili.
Back to TRA: I think that this profession kama nyingine yoyote ina wafanyakazi wa kike na wa kiume. That has to be reflected in one way or another in the management. Sidhani kama kuna haja ya kuwa 50 -50% that's ludicrous, but the refelction of this should be fair.
Wengine hapo nyuma wamechambua vyema tatizo la elimu etc ambayo inaendelea kuwanyima akina mama nafasi (oportunity), ditto for watu wenye ulemavu.
Safari ni ndefu!