No story, no hi, kisa kanipa chaga

No story, no hi, kisa kanipa chaga

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,024
Reaction score
1,377
Hodi.. Humu ndani.. Kuna binti ambae nilizoeana nae!! Na alifanya vituvambavyo mim nilihici ana nipenda kama kuomba out na mimi, kunipa hug kw sanaaaa iyo ilikuakila sikuu.. Na kupiga simu kila siku, please call kwasanaa kama hana salio!
Lakini nilivo panga cku na mimi nioneshe ukidume wangu
Nika muanza mtoto
Mimi: Mamy kuna kitu nataka nikwambie
Dem: niambie tu ataucjali
Mimi:yani katika watu wanaonifany niwe kama crayz n ww
Dem: kwanin?
Mimi: kiukwel nimetokea kukupenda sanaa I real love u xooo much!
Dem: mhh sijaelewa!
Mimi: plz naomba nielewe lkn!
Dem: kama frnd lkn:
Mimi: Sio kama frnd natak niw mpenz wako
Dem: itakua ngumu
Mimi: (no subject)
Dem: kama hujib massage siji kukutukia tena
Mimi: poa
Dem: poa!

Nilipata hasira na nika futa namba!
Sas atakumsalimia sijawai na ye ana cool tu
Ushauri apo kipi kimesababisha anikatae na kumnunua nafanya kitu sahihi au?
 
huyo alishakubali tatizo utoto mwingi hebu wasiliana naye na uhakikishe umekula mzigo,
btw hakikisha umemaliz na homework uliyopewa shule.
 
917815_763292937137533_907937717_n.jpg

swissme
 
Za kizamani kweli hizo. Wewe mtoto wa kidigital unapata shida na watoto wa kike? Mimi demu nikimzimia akinipa no ya simu katombwa huyo.
 
Jifunze hooking mkuu
...la sivyo utawapoteza wengi.
 
Daah.. Tatizo swagasizijuii
Ungekua ww ungemtokeajeee uyoo
Swags hazifundishiki mzee...utafundishwa ukifika unatetemeka.

Kuna wanawake wengi wa swags za dizain hiyo. Chill nao
 
Duh pole sana kawaida dem ukimzoea kiivo yani tayali wakwako kwakua ulimua kuludi nyuma na kumtongoza basi ila ijachelewa jishushe na endelea kumbembeleza na msimamo wako wakimapenzi uku ukijilizaliza siri yao wanawake ni kubembelezwa ivyo komaaa atakuelewa
 
Swags hazifundishiki mzee...utafundishwa ukifika unatetemeka.

Kuna wanawake wengi wa swags za dizain hiyo. Chill nao
Ko kumwambia i real love u nakoseaa
Mfano ungekua ww mkuu ungemwambiajee??
 
Back
Top Bottom