Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
Hodi.. Humu ndani.. Kuna binti ambae nilizoeana nae!! Na alifanya vituvambavyo mim nilihici ana nipenda kama kuomba out na mimi, kunipa hug kw sanaaaa iyo ilikuakila sikuu.. Na kupiga simu kila siku, please call kwasanaa kama hana salio!
Lakini nilivo panga cku na mimi nioneshe ukidume wangu
Nika muanza mtoto
Mimi: Mamy kuna kitu nataka nikwambie
Dem: niambie tu ataucjali
Mimi:yani katika watu wanaonifany niwe kama crayz n ww
Dem: kwanin?
Mimi: kiukwel nimetokea kukupenda sanaa I real love u xooo much!
Dem: mhh sijaelewa!
Mimi: plz naomba nielewe lkn!
Dem: kama frnd lkn:
Mimi: Sio kama frnd natak niw mpenz wako
Dem: itakua ngumu
Mimi: (no subject)
Dem: kama hujib massage siji kukutukia tena
Mimi: poa
Dem: poa!
Nilipata hasira na nika futa namba!
Sas atakumsalimia sijawai na ye ana cool tu
Ushauri apo kipi kimesababisha anikatae na kumnunua nafanya kitu sahihi au?