No treatment of tinnitus in Tanzania??

No treatment of tinnitus in Tanzania??

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mdogo wangu anasumbuliwa na tinnitus kwa muda sasa karibu miaka 8, tumejaribu kila njia lakini anasem bado.
Kwa anefahamu matibbu ya tinnitus msaada
Tumejaribu kununua hearing aid lakini hkuna matokeo chanya
 
SIsi wataalam wa mitishamba hilo sio sehemu yetu.

Lakini nafahamu madktari wa Tiba za kisayansi wanaweza kukusaidia.

Muhimbili kitengo cha Pua, sikio na koo, pia kuna Hospitali Ekenywa ipo Magomeni Oilcom.

Pia hospitali zote kubwa za Dar. REGENCE, AGAKHAN, RABININSIA, HINDU MANDAL, CCBRT.

Please work on this
 
Mdogo wangu anasumbuliwa na tinnitus kwa muda sasa karibu miaka 8, tumejaribu kila njia lakini anasem bado.
Kwa anefahamu matibbu ya tinnitus msaada
Tumejaribu kununua hearing aid lakini hkuna matokeo chanya
Mkuu Hiyo Shida Inamuhitaji ENT doctor Aishughulkie Ukiacha Kwamba Inahitaji Uchunguzi mkubwa sana..
Nenda Hospitali ya Rufaa Kaonane na Daktari yoyote wa ENT atakusaidia..
Maana Inahitajika Mpaka Mambo ya Sound Therapy
 
Hakuna tiba ya moja kwa moja ya tinnitus kwa kila mtu, lakini kuna njia za kupunguza usumbufu wake, kama:
Kusafisha sikio kama kuna nta nyingi
Kutibu magonjwa yanayosababisha hali hiyo Kutumia sound therapy (sauti za kutuliza).Tiba ya kisaikolojia kama Cognitive Behavioral Therapy (CBT) Matumizi ya vifaa maalum kama hearing aids au maskers.Ikiwa unasumbuliwa na tinnitus, ni vyema kumuona daktari wa masikio (ENT) Muhimbili au Hubert Kairuki Dar kwa uchunguzi zaidi.
 
sawa, amesoma kwa shida sana hadi chuo akamaliza kuomba kazi inkuwa changamoto haswa kwenye interview za oral to oral. Asante
 
Amesoma Programme gani mkuu!?? JE Bado hajapata kazi GVT!?
 
Back
Top Bottom