No Tuachie Timu Yetu

huwezi kuungana na mimi kwenye ujinga kama huo. niko pamoja na Mo Dewji. anafanya kazi nzuri na timu inakuwa watu wanaburudika. Tuambie unachangia nini kupitia share. usikute hata jezi huna. acha wivu fanya wa kike fanya kazi
Watanzania tuna safar ndefu sana kujikwamua na ndio maana mpaka sasa CCM inaendelea kutawala kwa kuwa wapiga kura wengi ni wenye akili kama zako
 
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
Utopolo ndan ya uwanja mshashindwa nje ya uwanja ndo mtaweza? Ni swala la mda utopolo mtaanza kulia lia
 
Kuna kipindi Simba ilikuwa hoi mpaka ikachukua kikosi B hatukuwaona hawa kina Kigwa hata kununua katoni ya maji, hizi chuki tu baada ya kutoswa Mkopo hata ukisoma majibizano utaona mtu anadonge moyoni.
 
Watanzania tuna safar ndefu sana kujikwamua na ndio maana mpaka sasa CCM inaendelea kutawala kwa kuwa wapiga kura wengi ni wenye akili kama zako
wewe umechangia nini maendeleo ya Simba au ni kupiga domo tu
 
Reactions: Tui
wewe umechangia nini maendeleo ya Simba au ni kupiga domo tu
Sikiliza wewe, Mimi ni mwanachama hai nalipa ada ya uanachama, jezi za klabu nanunua za kutosha tu pia nashiriki haswaa kwenye shughuli mbali mbali za klabu, hata hichi nilichoandika kuhimiza Mo ajiuzuru ni mchango pia kwa klabu.
 
Nashangaa mijitu inahaha wakati haijawahi kuchangia lolote kwenye timu yetu pendwa...

Mimi timu hata imilikiwe na nyau, ili mradi inaitwa Simba na inanipa raha... kwangu poa tu
Kama Nyerere angekuwa na mawazo Kama yako bado mpaka tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni, acha kuwaza KIJIMA. Uvivu wako wakufikiri nje ya box usilazimishe na wengine wawaze kipuuzi hivi.
 
Kama Nyerere angekuwa na mawazo Kama yako bado mpaka tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni, acha kuwaza KIJIMA. Uvivu wako wakufikiri nje ya box usilazimishe na wengine wawaze kipuuzi hivi.
Ni upuuzi kulinganisha vilabu vya michezo na uongozi wa Taifa...

Simba kama simba hao njaa kali wanaopayuka kama mbwakoko wameifanyia nini??

Unakuta jitu linajiona lisimba la kufa mtu kumbe halijawahi hata kuichangia shilingi moja...

Linajifanya shabiki la Chelsea afu linampinga Abromavich...
 
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
Tunao uwezo mkubwa sana kwa sisi wanachama na wapenzi kuiendesha timu, tukiamua kila mwanachama na shabiki kuchanga si chini ya elfu 10 itapatikana zaidi ya bilioni 300 ambazo ni zaidi ya kiasi alichoahidi MO bilioni 20 kutoa mpakae leo hajatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Simba inapitia kipindi kigumu miaka 5 iliyopita mlikuwa wapi kuchangia hizo 10,000/=? Mnataka mueekewe 20 B ili mzile.Kama mliduriki kula rambirambi,20B mtaziachaje?
 
Wewe umetoa mchango gani kwa timu?.
Wewe ni andazi tu,Simba aina shibiki kama wewe.
 
Mm simba tena wa moyon ila mambo ya kuchanga pesa siwez mm mchango wang kwenda uwanjan na kununua jez wanapotokea watu wanatoa ela zao kuendesha timu inaitaj moyo sio kurudishana nyuma miaka zaid 80 ata uwanja wa mazoez tulikosa makombe kila mwaka tatzo nin sasa ningeungana na ww endapo mo yupo na ubingwa hatupat tumpe moyo atufikishe mbal kimataifa sio kuanza maneno na kejel jaman ela inauma unaweza kusema simba na yang zinalipa sana apo apo tujiulize mbona zinakosa maendeleo zikijiendesha wenyewe
 
Kweli kabisa mkuu, jamaa aondoke simba sio saccos yake
 
Nilichokiona watanzania wengi wana wivu na maendeleo ya kitu wasione kitu kinaendea basi kuanzia wanasiasa mpka wale vifafa ambao kula yao huwa shida hujifanya wanajua sana ila likitokea la kutokea kila mmoja hukimbia
Hakika huu ndio ukweli
 
Wakati Simba inapitia kipindi kigumu miaka 5 iliyopita mlikuwa wapi kuchangia hizo 10,000/=? Mnataka mueekewe 20 B ili mzile.Kama mliduriki kula rambirambi,20B mtaziachaje?
Hakika, kama wanachama wanaweza kuchangia walikuwa wapi miaka yote hii, na hii staili inatumika na timu gani duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…