Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
- Thread starter
- #21
Watanzania tuna safar ndefu sana kujikwamua na ndio maana mpaka sasa CCM inaendelea kutawala kwa kuwa wapiga kura wengi ni wenye akili kama zakohuwezi kuungana na mimi kwenye ujinga kama huo. niko pamoja na Mo Dewji. anafanya kazi nzuri na timu inakuwa watu wanaburudika. Tuambie unachangia nini kupitia share. usikute hata jezi huna. acha wivu fanya wa kike fanya kazi