Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.
Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:
1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?
Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......
Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.
2. Elimu bure, utawezaje hilo.
Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.
Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.
Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?
Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:
Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........
Kila mwanafunzi anagharimu sh..........
Jumla ni sh..........
Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...
Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.
Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa
NO WAY, NO HOW, NO SLAA.
The House of Great Thinkers my... Hakuna hata mmoja wa kuweza kuandika kitu cha ku-refute!
Ushauri wako ni mzuri, LAKINI KATIKA VITU ULIVYOORODHESHA UMESAHAU HELKOPTA YA KUPIGIA KAMPENI.
NAusisahau kuhesabu gharama za helkopta toka kampeni za 2005 (Mbowe) na ule uchaguzi mdogo wa Mara. Nyani haoni kundule!!!!"!
Eti huyo mtu anayetumia gharama hizo kwa kampeni tu NDIO ANATUDANGANYA AKIINGIA IKULU YUPO TAYARI KULA MUHOGO
Hata maswali yenyewe hujayapatia, licha ya kutokuwa na upeo wa kuelewa mambo....! Nakushauri urejee tena kumsikiliza kwa makini...!Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.