Kuzaliwa sio njia pekee ya watu kuongezeka, Mwenyezi Mungu anauwezo mkubwa tu angeweza kufanya watu waka tokea kama upepo au wakaota kama uyoga hadi dunia inajaa,Sasa mngelizwa na nini !!wakati msingezaliwa hata[emoji135]
Sahihi kabisa mkuu,yote yawezekana kwake na angefanya mnyororo mwingine wa kusababisha vilio.Kuzaliwa sio njia pekee ya watu kuongezeka, Mwenyezi Mungu anauwezo mkubwa tu angeweza kufanya watu waka tokea kama upepo au wakaota kama uyoga hadi dunia inajaa,
YapSahihi kabisa mkuu,yote yawezekana kwake na angefanya mnyororo mwingine wa kusababisha vilio.
Huonii kama APA naibiwa hakuna true love [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kwanini mpaka mwanamke akulize..!!!? Ina maana we mtoto wa ki
True love itapendeza ikianza na wewe kiongozi, otherwise aliyeuza cheni ni dhahabu feki na hell ni feki= ngoma droo!bila bila.Huonii kama APA naibiwa hakuna true love [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie aaah mbona najitaidi sana kuwaonyesha ila napimaa kwanza nikiona bado machepele ...vizinga ad pedii ....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]True love itapendeza ikianza na wewe kiongozi, otherwise aliyeuza cheni ni dhahabu feki na hell ni feki= ngoma droo!bila bila.
Jipe muda dogo,mambo hayo yanahitaji ushiriki wa muumba pia.anyway pole sana.Mie aaah mbona najitaidi sana kuwaonyesha ila napimaa kwanza nikiona bado machepele ...vizinga ad pedii ....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nimesema uzi, sio upuuzi. umeninukuu vibaya mkuuSiamini kama ni slogan ngeni machoni/masikion mwako, neno upuuzi sijaelewa unamaanisha nn