No woman no cry huu msemo una ukweli?

No woman no cry huu msemo una ukweli?

TrueMan07

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
31
Reaction score
29
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hii terminology, hivi ni kweli bila wanawake tungekuwa kweli hatutoi machozi.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Sasa mngelizwa na nini !!wakati msingezaliwa hata[emoji135]
Kuzaliwa sio njia pekee ya watu kuongezeka, Mwenyezi Mungu anauwezo mkubwa tu angeweza kufanya watu waka tokea kama upepo au wakaota kama uyoga hadi dunia inajaa,
 
Kulia kungekuwepo tu ndio maana mwenyezi mungu akaweka machozi kama kipunguza maumivu kwa watu
 
Kuzaliwa sio njia pekee ya watu kuongezeka, Mwenyezi Mungu anauwezo mkubwa tu angeweza kufanya watu waka tokea kama upepo au wakaota kama uyoga hadi dunia inajaa,
Sahihi kabisa mkuu,yote yawezekana kwake na angefanya mnyororo mwingine wa kusababisha vilio.
 
Na kwanini mpaka mwanamke akulize..!!!? Ina maana we mtoto wa ki
 
Huonii kama APA naibiwa hakuna true love [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
True love itapendeza ikianza na wewe kiongozi, otherwise aliyeuza cheni ni dhahabu feki na hell ni feki= ngoma droo!bila bila.
 
True love itapendeza ikianza na wewe kiongozi, otherwise aliyeuza cheni ni dhahabu feki na hell ni feki= ngoma droo!bila bila.
Mie aaah mbona najitaidi sana kuwaonyesha ila napimaa kwanza nikiona bado machepele ...vizinga ad pedii ....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mie aaah mbona najitaidi sana kuwaonyesha ila napimaa kwanza nikiona bado machepele ...vizinga ad pedii ....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jipe muda dogo,mambo hayo yanahitaji ushiriki wa muumba pia.anyway pole sana.
 
jiulize vilio vingapi umeshalia wewe ambavyo havijasababishwa na mwanamke halafu uupe jibu uzi wako
 
Nadhani umesahau matatizo makubwa ya dunia ya sasa na hata zamani yamesababishwa na Mali/pesa au WANAWAKE.
ndo vilio vyenyewe hivyo
 
jiulize vilio vingapi umeshalia wewe ambavyo havijasababishwa na mwanamke halafu uupe jibu uzi wako
Siamini kama ni slogan ngeni machoni/masikion mwako, neno upuuzi sijaelewa unamaanisha nn
 
Uo msemo ni wa marehemu mmoja alikuwa mvuta bangi
 
Back
Top Bottom