fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi wanapata faida kweli au michongo tu nao waonekana wanafanya biashara mjini hapa 🤣🤣
mji una kazi huu aisee
#modsfutenitenanahuuuzi
#yesbishoohaswaaa🫡
mji una kazi huu aisee
#modsfutenitenanahuuuzi
#yesbishoohaswaaa🫡