Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we acha tu aisee sjui korosho pakit moja wanauza elfu 50 au vpPicha huwa linaanzia kwenye wese maana muda wote chuma huwa inaunguruma tuu.
aya pakti moja n bei ganiUmeshawahi kuuliza bei ya hizo korosho za kwenye Ac? wanauza sh.ngapi?na maeneo gani?.
Nenda coffee shop,wanauza kahawa tuu.ila ni ful AC.ila bei ya kikombe kimoja ni mtaji wote wa yule jamaa anayetembeza kawaha na kibirika chenye moto wa mkaa
huu mji wanauweza wenyewe maana sku hizi wakuja ndo wanatunisha vifiua kwa wazawa 🤣🤣😁Kuna wadada, age kama 35-42, wazuri warembo,,,, niliwafahamu kupitia jamaa yangu,wanatembelea kulger namba E,, wanauza sweta za watoto (uniforms), makoti ya wakubwa , jeans za wadada na vihereni kadhaa! Yani ni kamzigo kanakoishia tu kwenye boot ! Na wanafanya delivery,,,,hatari sana, kwenye gari full mziki na savannah zao.,,, nikasema hapa kuna jambo, sio bure ama wao wanajiuza au mambo ya money laundering,,,mji mzito sana !
Life style zao haziendani na kazi/kipato Chao kabisa,,,na hawana office
Hata Mimi nilishangaa hivyohivyo inatumiwa na mke wa kigogo!aaah hyo sio kweli mkuu dsm hii hii v8 inauza mikoba..?😁
Kilo moja ya korosho si chini ya Shs. 20,000Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi wanapata faida kweli au michongo tu nao waonekana wanafanya biashara mjini hapa 🤣🤣
mji una kazi huu aisee
#modsfutenitenanahuuuzi
#yesbishoohaswaaa🫡
Hii inaleta maana sasa, ila bila hii comment ningetunga yanguItakuwa ni hawa ninaowaona Mikocheni na Mwenge.. Gari yao wameibrand na inawezekana ni kiwanda cha korosho, sehemu kubwa ni kujitangaza kuliko kutegemea mauzo ya korosho yatayotakana kwenye hiyo gari.
Kwa kiwanda cha Korosho kikubwa kuwa na magari kwa ajili ya hiyo shughuli inawezekana, na matarajio yao yanafanya kazi mpaka umeshtuka na kuleta uzi maana yake wanaonekana.
sio kwelPicha huwa linaanzia kwenye wese maana muda wote chuma huwa inaunguruma tuu.