fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
na ndo tunakoelekea huku yaan alphard inauza korosho huwaga nikipta kile kipande huwaga roho inaniuma sana ile ni dharau ujue 🤣🤣Ngoja siku ukutane na v8 Ina uza matango, ndio uta jua hujui
mji mzito huukuna kale kamsemo ka "Takatisha Fedha"
Money launderingkuna kale kamsemo ka "Takatisha Fedha"
aaah hyo sio kweli mkuu dsm hii hii v8 inauza mikoba..?😁Nilikutana na V8 inauza mikoba nilishangaa Sana!!
unataka kunambia faida hyo inapatikana ya kutosha mkuu hata kama haiwez nunua hzo gari ila mmmhFaida wanapata lakin hyo biashara yake haiwez nunua hilo gar
wameendea sehemu nyiingi dsm sjidhan kama n mtu mmoja kama n kampuni moja badi kajipanga kwelikweli maanaga gari kali inauza korosho 🤣😁Itakuwa ni hawa ninaowaona Mikocheni na Mwenge.. Gari yao wameibrand na inawezekana ni kiwanda cha korosho, sehemu kubwa ni kujitangaza kuliko kutegemea mauzo ya korosho yatayotakana kwenye hiyo gari.
Kwa kiwanda cha Korosho kikubwa kuwa na magari kwa ajili ya hiyo shughuli inawezekana, na matarajio yao yanafanya kazi mpaka umeshtuka na kuleta uzi maana yake wanaonekana.
whata if i want to do the same business mhighLeave people business alone
Unakuta binti gari kanunuliwa na kibopa kampa na mtaji kala ikabaki milioni 3 na anamlipia kila kitu na mafuta anamwekea hivyo haoni hatari kuchoma mafta ya 50000 akauza mkoba wa buku 20.aaah hyo sio kweli mkuu dsm hii hii v8 inauza mikoba..?😁
Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi wanapata faida kweli au michongo tu nao waonekana wanafanya biashara mjini hapa 🤣🤣
mji una kazi huu aisee
#modsfutenitenanahuuuzi
#yesbishoohaswaaa🫡