Noah namba A nataka niibadili iwe namba C au D

Ni kitu kisichowezekana kwakuwa chochote utakachofanya kitakuwa ni fojari
Jamani nina Noah namba A nzima kinyama nataka niifanye iwe namba D ili nami naanze kuwaoshea na D yangu, je naweza kubandika Chassis namba nyingine ya kadi namba D? Au nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Anza wewe kurudi utoto wa miaka 2, ikiwezekana nenda TRA ukabadilishe hiyo A iwe D pia.
 
Haiwezekani...
pili tujenge utamaduni wa kukubaliana na hali halisi...

Ukikuta mtu ana gari namba A linatembea bila shida, mheshimu kwa sababu ni ishara kuwa ni mtunzaji na anajua kujalu...

Mwenye gari aina ya Noah namba A na Mwenye gari aina ya Noah namba D wote wakianza safari Dar kuja Arusha, destination yao itakuwa ni Arusha wote...na wote wataikuta Arusha jinsi ilivyo..
Haina maana kwamba mwenye namba D ataikuta Arusha kama Chicago na mwenye namba A ataikuta Arusha kama Simiyu..

Naendelea kusisitiza tujenge utamaduni wa kukuoenda tulichonacho na chenyewe kitatupenda...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAELEZO YA NYONGEZA MH. MNENAJI

'A man brags his penis however tiny'
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza .....we hujui why anataka badili ....labda anataka uza hivo ikiwa no c au d thaman itapanda
 
Reactions: dtj
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza .....we hujui why anataka badili ....labda anataka uza hivo ikiwa no c au d thaman itapanda
Nakubaliana na wewe...pengine ana wazo hilo...

Lakini tukirudi upande mwingine, mtu makini anayetaka kununua gari lililotumika hapa bongo, haangalii namba kwanza, anaangalia hali ya gari kiutendaji na ilivyotunzwa, then mambo ya namba yanafuata baadae..

Kwa bahati mbaya watz tuna utamaduni wa kukimbikia gari zenye mile age chache na namba D kwa sasa....kumbe wahuni na madalali wabovu wamejificha huko kwenye namba D na mile age chache....coz mile age zinachezewa tu zinashushwa...

Gari inaweza ikawa D matatizo kibao ila mteja akashawishika kisa ni D na mteja akaacha namba A au B iliyo kwenye hali nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara chache sana hii kwa gari ndogo za chini kukuta namba A,B zipo sawa kuliko namba D..

Ishu ya namba ina apply kwny gari za juu tu kama RAV 4, ESCUDO, CRUISER nk

Hila hvi vidogo asee nadra sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara chache sana hii kwa gari ndogo za chini kukuta namba A,B zipo sawa kuliko namba D..

Ishu ya namba ina apply kwny gari za juu tu kama RAV 4, ESCUDO, CRUISER nk

Hila hvi vidogo asee nadra sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...
Sababu yamsingi unakuta gari ndogo umegongwa gongwa sana sehemu za chini kww sababu inakuwa inagusa baadhi ya mawe au matuta kwenye barabara mbovu ..
sababu nyingine gari ndogo unaweza kukuta imetumiwa kama taxi kwa muda au Uber....hivyo inkuwa imepitia dhoruba nyingi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: dtj
Jamani nina Noah namba A nzima kinyama nataka niifanye iwe namba D ili nami naanze kuwaoshea na D yangu, je naweza kubandika Chassis namba nyingine ya kadi namba D? Au nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] Kua muwazi 2 jamaa Naona dalili za boya kupigwa pesa kwa kubadili A kua D

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nakubaliana na wewe kabisa kupitia my personal experience,Last year nilikuwa na gari yangu yenye namba za zamani and within hours tokea nimeitangaza ilipata mteja ambaye alinipa Bei nzuri mnoo na pengine kushinda hata baadhi ya gari latest lililoingizwa sokoni,Aliyelinunua alishangazwa na ubora wake ambapo ilimpelekea kuamini kwamba the car must have been maintained properly and the case was true,gari yangu mostly ilikuwa naipaki kwenye garage nyumbani and within a year ikitembea sana haivuki 4000kms with good maintainance history,Therefore quality of the car matters kuliko namba otherwise labda awe anataka kuficha matatizo ya gari Kwa mteja kupitia new plate no.
 
Nina kili time namba A ni mwaka wa 12 sasa ndio kwanza imekula elfu 98kms,niliipata ikiwa imetumika kwa elfu 32kms,sijawahi kuipiga rangi.
Sijawahi kuwaza kuiuza ingawa namba (gari ndogo) B na C gari zingine nimeziuza.
Kama gari ikitunzwa vizuri kwa Services na usafi haichakai na haichoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafute wezi wa magari watakupa mbinu wanazotumia kubadili namba. Wasenge sana hawa jamaa siku nikikuta mwizi amekamatwa ameiba gari nanunua petrol namwasha moto natambaa zangu
 
Ni kitu kisichowezekana kwakuwa chochote utakachofanya kitakuwa ni fojari

Jr[emoji769]

Leo umeyumba mkuu kwani watu kibao wanafanya hivyo na sio ajabu sawa tu na madiwani wa ACT kuhamia CCM hakuna anayeeona ni ajabu
 
You are ryt!
 
Ni kitu kisichowezekana kwakuwa chochote utakachofanya kitakuwa ni fojari

Jr[emoji769]
Kwani akiiuza Zenji ikasajiliwa kule kisha akairudisha bongo na kuisajili upya haitafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…