Nakubaliana na wewe...pengine ana wazo hilo...
Lakini tukirudi upande mwingine, mtu makini anayetaka kununua gari lililotumika hapa bongo, haangalii namba kwanza, anaangalia hali ya gari kiutendaji na ilivyotunzwa, then mambo ya namba yanafuata baadae..
Kwa bahati mbaya watz tuna utamaduni wa kukimbikia gari zenye mile age chache na namba D kwa sasa....kumbe wahuni na madalali wabovu wamejificha huko kwenye namba D na mile age chache....coz mile age zinachezewa tu zinashushwa...
Gari inaweza ikawa D matatizo kibao ila mteja akashawishika kisa ni D na mteja akaacha namba A au B iliyo kwenye hali nzuri
Sent using
Jamii Forums mobile app