Noah namba A nataka niibadili iwe namba C au D

Cha ajabu, mwanamke mwenye mile age nyingi wanabeba.

Afu kwan iyo namba D haita pitwa na wakati!
 
Number sio kitu ,hapa mjini kuna magari no A au B na yamenyooka sana ,na kuna no D zimechoka mbaya .Inategemea na utunzaji.
Tumia muda wako kuyakagua ma L/Cruiser no A utakuja kukubali.
 
Mkuu, hawawezi kukuelewa kabisa, watu wanaangalia namba na sio gari
 
Kikubwa ni barabara za hapa bongo sio rafiki mtu anakaa mabondeni huko km 5 toka barabara kuu miezi sita tu IST haitamaniki...

Sema hela tu hakuna hapa bongo si pa kununa fari za chini asee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cruisee sawa ila hvi vi toyota IST, ALLEX,PASSOA labda uotee ya muhindi ila sio ya kina sie tunaokaa madongo kuinama huko aseee..

Miezi sita tu gari ipo ka kopo la bia
Number sio kitu ,hapa mjini kuna magari no A au B na yamenyooka sana ,na kuna no D zimechoka mbaya .Inategemea na utunzaji.
Tumia muda wako kuyakagua ma L/Cruiser no A utakuja kukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa wakala wa bima, anakuuzia card ya Noah iliyopiga mzinga na namba D maisha yanasonga
 
Naunga mkono hoja...
Nina ushuhuda kwa watu kubambikiwa magari mabovu kwa kuangalia namba D au Low mile age..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is the fact which most of us don't know..
We are concentrating on latest plate numbers and low mileage....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuuza au kuoshea?....

Uza nunua namba D..... ila gari kua namba A au B siku zote sio kwamba ni ya zamani.
 
Jamani nina Noah namba A nzima kinyama nataka niifanye iwe namba D ili nami naanze kuwaoshea na D yangu, je naweza kubandika Chassis namba nyingine ya kadi namba D? Au nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba isikuumize kichwa, we ipe service ya kutosha na vipuri vya uhakika, hapo utaifurahia, kuna gari za mikoani kama Abood ina namba A lakini ni dar mbeya bila usumbufu.

UBHULONDO bhukupela IKIPAHO.
 
Huu mchezo watu wanaucheza sana hasa wanapotaka kuuza magari ....maana wengi wanaangalia numbe D ...WANAJIKUTA WAMEPIGWA

nenda TRA ...kuna wakali wa hizo mambo , uwe mwepesi kupenyeza rupia

sent from toyota Allex
 
Huu mchezo watu wanaucheza sana hasa wanapotaka kuuza magari ....maana wengi wanaangalia numbe D ...WANAJIKUTA WAMEPIGWA

nenda TRA ...kuna wakali wa hizo mambo , uwe mwepesi kupenyeza rupia

sent from toyota Allex
Ni sawa na bibi kumfanyia makeup ili aonekane binti....
Still atakuwa ni bibi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…