stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Ingekuwa hivyo basi kule Wallstreet watu wangekuwa wanalala miguu juu,na matajiri wote wangewekeza kwenye hayo mabot, endelea na msimamo wako.
ungependa kujua wanaingiza kiasi gan:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa hivyo basi kule Wallstreet watu wangekuwa wanalala miguu juu,na matajiri wote wangewekeza kwenye hayo mabot, endelea na msimamo wako.
Anauza how much na anapatikana wapi?Kuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia
Endelea kuwadanganya, usihofu utakula vichwa mkuu
I have made it already na maisha yangu sitegemei trading, Nina vitu ambavyo wewe kwako bado ni ndoto.una safari ndefu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! and you may never make it kama huelewi nn kinaendelea nyuma ya pazia
unamfahamu?I have made it already na maisha yangu sitegemei trading, Nina vitu ambavyo wewe kwako bado ni ndoto.
Endelea kuwadanganya, usihofu utakula vichwa mkuu
I have made it already na maisha yangu sitegemei trading, Nina vitu ambavyo wewe kwako bado ni ndoto.
Hamna shida mkuu hilo Bot lako we tumia mwenyewe tu, mimi sihitaji Bot wacha nibaki na ujinga wangu. Na kama wewe una mpango wa kisaidia watu wafanikiwe ungeligawa bure tu. Au tumia mwenyewe tu uwe Bilionea baada ya muda mfupinkikwambia una safari ndefu uwe unaelewa, si unaona akili lako linavowaza
Soko linaendeshwa na watu siyo Bots.hizi znaitwa self defence skills, lengo langu ni kukuonyesha bots ndo znaendesha masoko sasa nyie mliangukia kwa matapeli but modern trading ni bots
Yeye ananifahamu pia?? Labda tuanzie hapo. But all in all sijawahi ona a real profitable trader anapoteza mida kupigia debe hizo Bots ambazo ni scams.unamfahamu?
nlikua naweka tu records straight, amna sehem nmeongelea trading humu jamii forum! kwahio baki kwenye laneHamna shida mkuu hilo Bot lako we tumia mwenyewe tu, mimi sihitaji Bot wacha nibaki na ujinga wangu. Na kama wewe una mpango wa kisaidia watu wafanikiwe ungeligawa bure tu. Au tumia mwenyewe tu uwe Bilionea baada ya muda mfupi
linked in, quora na huo ujinga mwingine ndio your sources of these bogus information? Really? Kumbe napoteza muda wangu hapa, kwa hiyo kule WallStreet,Nasdaq, NYSE wanatumia Bots au sio??🤣🤣
Na umenimind sababu nimekuexpose mapema sana ulitaka kuja kuibia watu hapa na hilo scam lako la trading Bot, hapa humpati mtu🤣🤣
tafuta mtu yoyote aliefanikiwa wall street ambae hatumii softwareslinked in, quora na huo ujinga mwingine ndio your sources of these bogus information? Really? Kumbe napoteza muda wangu hapa, kwa hiyo kule WallStreet,Nasdaq, NYSE wanatumia Bots au sio??🤣🤣
Na umenimind sababu nimekuexpose mapema sana ulitaka kuja kuibia watu hapa na hilo scam lako la trading Bot, hapa humpati mtu🤣🤣
linked in, quora na huo ujinga mwingine ndio your sources of these bogus information? Really? Kumbe napoteza muda wangu hapa, kwa hiyo kule WallStreet,Nasdaq, NYSE wanatumia Bots au sio??🤣🤣