Uchaguzi 2020 Noel Msigwa: Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa kiti cha Urais?

Kwa hiyo kaitwa kwasababu kasema atashinda? Wote tumemsikia Dk. Mahela hivyo usituletee uongo wako humu. Kamati za maadili zimewekwa kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi kufanya kazi hiyo. Mtulie Lissu akatoe ushahidi wa aliyosema Musoma.
Mnaofikiria KITOPIAN mko hivi, mgombea wa ccm kila kukichaa anatoa Rushwa kwakuwapigia mawaziri na wkurugenzi wapelekee PESA majimboni!!! Je Nec wamemuita? Endeleeni kupalia mkaaa wa Moto kwenye chungu kitakaposhika joto mtajua...!!
 
Hawana uwezo wa kumsimamisha Lissu. Ukiondoa sifa ya Lissu kuwa mgombea ni makamu wa mwenyekiti hivyo atatembea na beat ya kauli zangu nimezitoa kama makamu mwenyekiti kama Raisi anavyosema kuwa yy bado ni Rais
 
Tumeshikwa pa baya.
 
Uzuri wananchi tuna mshindi wetu tayari uyo wa kwao wajiandar kwenda nae uhamishoni

SUBIRI KIDOGO
 
Tume mnataka kutuchanganya wananchi,tunaona na kusikia,ya Lissu ni dhahiri mmeegemea upande.Kumbuka ninyi ni waamuzi,msituchanganye wananchi.Wagombea wote ni Watanzania na wote ni wazalendo.
 

Hii siyo tume ya uchaguzi ni tume ya kuwakandamiza wapinzani. Tume imesahau kuwa mgombea wa ccm alipokuwa kigoma alitasema kuwa yeye ndio mshindi wa uchaguzi huu, je tume imechukua hatua gani? Hii tume inaenda kusababisha vurugu kwenye nchi yetu
 
Against ila ya chadema?

Kwahiyo chadema ilani wanasema itauza madini?
 
Hilo jamaa linatakiwa lipunguzwe meno yake marefu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Yani beberu wa Lisu Amsterdam ambae ni raia wa nje aombe mkurugenzi wa tume kutoka tz ambayo ni nchi huru aondolewe?
 
Kama vurugu itatuwezesha kuwaondoa mashetani wa kijani ccm bora iwe hivyo
 
Wajue Wantsnzania wanapenda,Uhuru,haki na maendeleo,uzalendo maslahi umetuhafibia taifa letu.
 
Yale maneno ya mkurugenzi inawezekana ukawa mtego wa kuikosesha uhalali tume ili ivunjwe na uchaguzi uhairishwe,hali ni mbaya sana upande wa pili mitego ya kila aina itakuja
umeona mbali
 
aw
Huyu mtu anamharibia zaidi Rais wetu Jpm. Hata kuongea hajui alipataje nafasi hiyo?
 
NECCCM Tumeccm wanatembea na matokeo mifukoni mwao wamechukua yale matokeo ya mwaka 2015 wameongezea kidogo eti ndiyo ushindi wa Mtukufu magufuli, mda wa kampeni unapotea bure vyama vinapoteza pesa kugharamia kampeni lakini Tumeccm wana matokeo mifukoni mwao tayari.
 
NECCCM Tumeccm wote ni wanachama wa CCM kwanza ni ajabu eti CCM inaenda kuihoji chadema?
 
Zile karatasi zenyewe ni maelekezo yameandikwa tayari yaliotoka CCM, bwana mkurugenzi alikua anasoma tu. Hata ukimwangalia usoni unaona nafsi inavyo msuta.
Zile karatasi ni akili ya Polepole imetumika kujibu hoja za Lissu kupitia NEC, ili kumpunguzia hasira Magufuli hakuna namna ingine.

Uchaguzi huu lazima tupasuane matumbo tulane maini, wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…