Samahani nilikuwa nauliza,simu ya nokia 6700 tanzania inauzwa bei gani?nimenunua hizo simu from u.k,ila nilikuwa napenda kujua bei ya tz,ili na mimi nikiuza nisiwagonge sana au nisije uza kwa hasara,kwani wateja wengine kabla hawajanunua,wanaenda dukani kuangalia bei,na mimi kwa sasa sipo tz