Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana
kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu
mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu
poa mkuu kwa fidbackAsante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida