Nokia e5

Nokia e5

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,172
Nimedondosha nokia yangu e5,hapohapo imepoteza network,Nilikuwa naomba ushauri wenu wa nn cha kufanya kabla sijaipeleka kwa fundi,Asanteni sana
 
kama imepoteza network baada yakuangusha then unachaziada zaidi yakupeleka kwa fundi mzuri akutengenezee hope itapona pole na matatizo mkuu
 
mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu
 
Asante kaka nilipeleka kwa fundi na sasa iko katika hali yake ya kawaida
 
mie ningekushauri u google na kupata majibu kama yamo kwenye forums nyingi zinazoongelea nokia, nahisi lazima utaona kitu

Nilijaribu sema wanaeleza jinsi ya KUrestore peke yake,Ila imeshapona nilipeleka kwa fundi
 
Back
Top Bottom