Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Habari za asubuhi wanaJF?
Nina simu yangu nokia E71 hapo hawali nilikuwa na fungua email zangu Yahoo/Gmail bila wasi wasi kwa kutumia Browser ya Operamini, wiki mbili sasa siwezi kufungua e-mail zangu hizi mbili kila nikifungua zina sema nimekosea pwd au ID, cha kuchangaza nikifungua kwenye computer Inafunguka vizuri kabisa.
Na nimejaribu kumpa mtu afungue e-mail yake kwenye simu yangu ikafunguka vizuri tu. sijui hizi E-mail zina matatizo gani, nimejaribu ku-clear cache/cookies na history la kini bado tu hazifunguki kwenye simu.
Msaada tafadhali