Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Na wasukuma.Wapewe wamasai
Hatuitaki wapewe wazinza hukoNa wasukuma.
kwan hamuwezi kumaliza jambo mpaka mtutaje wasukuma?Na wasukuma.
Umeanza uchokozi(jockingly). Umeme wa REA umeenea sehemu nyingi vijijini huku na solar panels zipo. Changamoto ipo kwamba, unayo simu janja halafu unashawishiwa eti uende kununua tena hako kakitochi simply ili weze kuchaji smart phone yako.Wapewe wamasai
Tulia tu ero kwani mbona hata sisi imetutaja eti Masai. Sisi tunajivunia Ng'ombe sio hayo masimu Smartjanja. Wisi mtupu.kwan hamuwezi kumaliza jambo mpaka mtutaje wasukuma?