Nokia kuuzwa kwa Microsoft, Makosa yanayofanywa na makampuni haya hapa!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Taarif za makampuni makubwa (too big to fail or tech giants) kama Blackberry, Motorola, Siemens na hivi sasa Nokia kufulia kibiashara ni ya kutisha sana! Taarifa za hivi karibuni zinasema kuwa Nokia watauza mobile division yao kwa Microsoft nao kubaki na miradi 'midogo midogo' isioyo kuwa na jipya kama ya kutengeneza ramani.
Makosa ambayo yamekuwa yakifanywa na makampuni makubwa mpaka kufikia hapa ni
1. Kudharau watu au wafanyakazi waliowafikisha hapo na sifa zote pamoja na mishahara mikubwa kuwarundikia mabosi. mara nyingi watu wanaopiga kazi na kuleta mafanikio wamekuwa wakisahauliwa. Kwa wastani, bosi mmoja wa juu wa benki za Uingereza na Marekani hulipwa mshahara mara 200 ya mfanyakazi wa kawaida.
2. Kubweteka na kuwa 'gogo' kama baadhi ya wanandoa ni kosa jingine linalofanywa na baadhi ya makampuni makubwa. Baada ya Blackberry kugundua product yao ya blackberry messenger walibweteeka na kujiona kuwa ndio wamefika. Wakati huo huo kuna makampuni madogo kama Tecno ambao hata simu zao nisingewaza kuzitumia hata kama ningepewa bure, leo ndio wamekuwa the leading company katika kutengeneza simu...
Kuna sababu kadhaa ambazo zinahitaji 'riwawaya' flani ili kuweza kuyaamsha makampuni yanayofulia kibiashara. Dunia tuliyopo ni ya kiushindani na hii globalization, free movement of goods and services across country borders itawaponza wengi na kuwaua kibiashara... Tuamke!
 
Freemason wana-Expiry date, subri kuona anguko la Apple na Samsung.
 
These are the shits i want to hear and read....ohhhh mara mke wangu ooohhhh mara dushelele ooohhh mara mara mara....ngono all the day you tz!!!!!??????? stay blessed!
 
Back
Top Bottom