Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
kwani hiyo nokia niliiokota??Haiwezekani
Windows ni windows
Android ni android
Tafuta hela ununue simu ya android
Usinipangie cha kujibu, natumia bando langu.kwani hiyo nokia niliiokota??
Ungenijibu tu haiwezekan mkuu
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,
Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..
Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
Nashukuru mkuu kwa jibu zuri...ngoja tu niendelee kutumia kwenye sms na calls tu...Haifai kabisa. Kwenye mitandao kuna ujanja ujanja wa kuweka Android kwenye windows phone lakini ni kwaajili ya gimmick na kujifurahisha tu.
Simu ya windows ukiweka Android inakuwa kasha ambalo Haina network na haitasoma Simcard, Camera haitafanya kazi, haitakuwa na sauti. Kifupi drivers nyingi hazitakuwa compatible.
Hata mimi ninayo Lumia nimeiweka store tu.
jibu ulichoulizwa na sio ambacho hujaulizwaUsinipangie cha kujibu, natumia bando langu.
Kikubwa sijakutusi
Usinipangie hujaninunulia bando, ungekuwa makini kiasi hicho usingeleta swali la chekechea hapajibu ulichoulizwa na sio ambacho hujaulizwa
πππ Kweli mzee, kwa mtoa mada huko kimeumanaSEMA KIMEUMANAAAAAA