kwani frimasoni ndio nini.....?
itakuwa waremboTuma salamu kwa Warombo wote waliopo JF....
| |
| [h=2]What is KIA?[/h] |
| KIA is "Killed In Action" or "Know It All" |
| [h=2]KIA Definition / KIA Means[/h] |
| The definition of KIA is "Killed In Action" or "Know It All" |
| [h=2]The Meaning of KIA[/h] |
| KIA means "Killed In Action" or "Know It All" |
hii topic ingekua nzuri kama ingekaa kule kwenye dini,haya wewe OTIS unaelewa maana ya jina lako?ngoja nikusaidie. Oh The Illuminati Sucks,so angaliaga majina mengine,waweza kuona mleta mada ni EMPTY kumbe na wewe linakuhusu,OTIS ni kutoka kwa jayZ na Kanye,FM huficha zaidi maana ya jina na maneno kama OTIS,achilia mbali jina la mtoto wa jayZ,IVY yaani illuminati very youngest.kuhusu watu wengine kuingia fm kunatuhusu hata ambao hatujaingia kwan inachochea hasira ya Mungu.
ni mtazamo tu