SHARUBU; Kuna Shabiki wa Yanga humo Nije ????ππ€£π€ͺππ
WATALII; Hapana Mkuu, Sisi ni Mashabiki wa MAMELOD tumetoka Nchi za Mbali, tumekuja kuliamsha Dude kwa Mkapa tarehe 30 dhidi ya Hao Yanga Unaowaulizia Mkuu.
SHARUBU; Haya Nendeni,ila Muwe Makini π hao Yanga Wanafugaga MAJINI π€ͺ