Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe
Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema
“Zitto amekuwa sauti ya kuiwajibisha serikali, akiwa bungeni na kuanza kuongea wote wananyamaza na kumsikiliza. Zitto sio mgonga meza kama wengine, msipeleke wagonga meza wakupeleka mambo ya chama badala ya wananchi.”
Aidha, amesisitiza kuwa Zitto ndiye anayestahili kupewa nafasi ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Kigoma Mjini kupitia ubunge.