GE2025 Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe

Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema

“Zitto amekuwa sauti ya kuiwajibisha serikali, akiwa bungeni na kuanza kuongea wote wananyamaza na kumsikiliza. Zitto sio mgonga meza kama wengine, msipeleke wagonga meza wakupeleka mambo ya chama badala ya wananchi.”

Aidha, amesisitiza kuwa Zitto ndiye anayestahili kupewa nafasi ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Kigoma Mjini kupitia ubunge.


Your browser is not able to display this video.
 
Haya ni matumizi mabaya ya akili kujalibu kushindana na ccm kwa siansa za mdomo.
 
Huyu ndio alijiteka hadi Iringa au kuna mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…