GE2025 Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na bunge ipo kimya, hakuna uchunguzi

GE2025 Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na bunge ipo kimya, hakuna uchunguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Abdul Nondo, amesema miaka mitano iliyopita ya uongozi nchini imeshuhudia ongezeko la matukio ya utekaji watu bila hatua madhubuti kuchukuliwa, huku akiwalaumu wabunge kwa kukaa kimya

Nondo ametoa kauli hiyo Oktoba 20, 2025, katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho uliofanyika katika kata ya Majengo, mkoani Kigoma, ambapo amesema ni jambo la kusikitisha kuona wananchi wanaendelea kutekwa, kuuawa au kupotea bila uwajibikaji wa mamlaka zinazohusika

Amesema hali hiyo inatishia haki za binadamu na uhuru wa raia, akiwataka wananchi kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuleta mabadiliko katika mfumo wa uongozi wa nchi


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Huyu nae mnafiki anapiga kampeni kwa kutumia tume ipi?!
 
Back
Top Bottom