"Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
CCM hakuna mzalendo hivi unawezaje kuwaamini watu ambao,,, mkataba unasema ni wamilele halafu Yanapita mitaani yanasema ni makubaliano nosense halafu mnasema kuna mzalendo???mhhhh