Shukran kwa somo murua! Hivi Tanganyika, tunaishi viwango sahihi vya Utu, au ubinadamu? Naona kimtazamo, kila jambo tunachakachua katika hali ambayo hata miili yetu hatuiui, hatuijali. Inatisha!Nongo ninini?
Taka za mwilini: Huu ni uchafu unaojikusanya mwilini, mara nyingi kutokana na jasho lililokauka na vumbi kwenye ngozi.
Wengi wamekulia kwenye mazoea ya kwamba mwili huwa hautakati kwa asilimia 100 kwakuwa una nongo ya asili ...
Na kwa kuthibitisha madai yao ni matumizi ya taulo baada ya kuoga na uchafu unaobaki kwenye taulo baada ya kujifuta.. Haya ni mazoea potofu na kukosa elimu sahihi
Hakuna kinaitwa nongo ya asili mwilini bali uchafu kwenye taulo unatokana na sababu hizi
1. Kutokuoga kwa usahihi.. Wengi wetu hawajui kuoga kwa usahihi hivyo hawatakati..kuna maeneo nongo imegandiana lakini maji yanapita shwaa
2. Uchafu wa maji: Ni vigumu Tanganyika na pengine Africa kujivunia tuna maji safi achana na salama.. Maji yetu mengi tunayotumia hayajafanyiwa 'treatment ya kutosha.. Sasa imagine mwili wenye nongo uoge maji machafu😀 hapo hata kama unajua kuoga hutatakata
3. Matumizi potofu ya taulo. Taulo ni kwa ajili ya kukausha maji mwilini sio kitendea kazi cha kuondoa nongo zilizoachwa kusafishishwa
4. Taulo nalo ni kitu kinachohitaji usafi wa mara kwa mara! At least lifue mara 2 kwa wiki.. Wewe nara ya mwisho kufua taulo ni lini?😀
Mwili hauna nongo ya asili ndio maana kuna mataulo meupe
Mazingira yakiwa safi .. Hakuna vumbi
Ukioga maji safi
Ukioga kwa usahihi na kutakata
Ukalitumia taulo kwa usahihi , utaachana na dhana potofu za nongo za asili mwilini
Zingatia: hupaswi kuwa na taulo moja tu ndani ya nyumba.. At least mawili au matatu rangi tofauti tofautiView attachment 3578904
Kuna taulo , ndogo sana za kujisugulia, mwili ukiwa na sabuni, au kwa mazingira yetu tungetumia dodoki, kutoa nongo katika mwili. Kwa wengi hatutumii, na bado tunashangaa kwa nini taulo linachafuka!Tazama mataulo ya hotel za gharama ya juu kidogo ambapo kuna maji safi na mataulo ya gesti za uswazi ambayo asubuhi hutumika mpaka kusafisha fangasi miguuni na kugeuzwa kikanyagio kabla ya kuvaa viatu 😁
Inategemea umetoka kufanya kazi gani.. Kama huna usafiri binafsi na hujashinda ndani kwenye kiyoyozi ni busara zaidi kutumia dodokiKuna taulo , ndogo sana za kujisugulia, mwili ukiwa na sabuni, au kwa mazingira yetu tungetumia dodoki, kutoa nongo katika mwili. Kwa wengi hatutumii, na bado tunashangaa kwa nini taulo linachafuka!
Kumbe ni alternative nzuri ya kuondoa nongo, hivi nongo ndio ukurutu? ama ukurutu ni tatizo/ugonjwa wa ngozi?Aisee sauna zinang'oa ngono zote mpaka pores zilizozibwa na uchafu wa mafuta mixer vumbi
Ukurutu ni ugonjwa wa ngoziKumbe ni alternative nzuri ya kuondoa nongo, hivi nongo ndio ukurutu? ama ukurutu ni tatizo/ugonjwa wa ngozi?
Tafsiri iko mwanzoni mwa mada.. Mtu mchafu anaitwa chanongo na mzinifu anaitwa changono😀 usichanganyeJina geni nongo?
😀 ujue na kuitumia pia.. Wengi wanaoga bila kujisafisha.. Bafuni dakika 5 mtu keshamaliza😁View attachment 3578907
Shower gell zipo aina tofauti tofauti na brand tofauti..ukiogea hizii hakuna NONGO ITAKAYO BAKIA MWILINI..
😊 Asante brother mshana kwa kunipa msamiati mpya ambao ndio nimeujua Leo NONGO
Njia bora ya kutoa nongo (seli za ngozi zilizokufa na uchafu) mwilini ni kusafisha ngozi kwa kina kupitia michakato ya kiasili inayosaidia kulainisha na kuondoa uchafu huo bila kuchubua ngozi.View attachment 3578907
Shower gell zipo aina tofauti tofauti na brand tofauti..ukiogea hizii hakuna NONGO ITAKAYO BAKIA MWILINI..
😊 Asante brother mshana kwa kunipa msamiati mpya ambao ndio nimeujua Leo NONGO