Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Leo juma pili, North Korea imeendeleza mfululizo wa majaribio yake ya silaha za nyuklia.
Nchi hiyo imerusha makombora mawili ya masafa mafupi yanayodhaniwa kuwa ni ya balistiki, tokea pwani ya mashariki ya nchi hiyo na kuangukia ktk bahari ya Japan.
Taarifa hizo zimetolewa na mamlaka ya South Korea na kuthibitishwa na serikali ya Japan. Hata hivyo, udadavuzi zaidi juu makombora hayo bado haujatolewa. Ni kawaida yake North Korea kutest makombora leo, kisha kuwaacha watu wayajadili kwa namna waonavyo halafu yenyewe (North Korea) huyatolea maelezo zaidi kesho yake.
South Korea imesema majaribio haya ya North Korea yanafanywa ktk kipindi kisicho sahihi maana yanaongeza taharuki juu ya taharuki ambayo tayari dunia inapambana nayo, corona.
Hili ni jaribio la nne ndani ya mwezi huu ambao nchi nyingi duniani, ikiwemo Marekani wapo kwenye kushughulishwa na vita ya corona nchini mwao.
Pia jaribio hili linajiri siku chache baada ya Kim Jong-Un kupokea barua toka kwa kipenzi chake Trump, ikimuambia kuwa Marekani iko tayari kuisaidia Korea Kaskazini kupambana na Coronavirus. Hata hivyo, hali halisi ya Corona imebadilika kwa ghafla, na imekuwa mbaya zaidi nchini Marekani, huku zaidi ya Wamarekani 100,000 wakiwa na maambukizo, na zaidi ya Wamarekani 2200 wakiwa wamepoteza uhai, ambapo jana Jumamosi pekee (March 28) walifariki Wamarekani 525 kwa ugonjwa huo.
Rejea: NewYork Times, AFP, Aljazeera n.k.
=====
North Korea fired what appeared to be two short-range ballistic missiles off its east coast on Sunday, the fourth such launch this month as the world battles the coronavirus outbreak.
The string of weapons drills come as a prolonged hiatus in disarmament talks with the United States drags on, and despite recent overtures from Washington offering help to contain the pandemic.
South Korea's Joint Chiefs of Staff said the North fired the two projectiles, presumed to be ballistic missiles, from the port city of Wonsan into the Sea of Japan, also known as the East Sea.
"Such military action by North Korea is an extremely inappropriate act when the entire world is having difficulties due to the Covid-19 outbreak," they added in a statement.
Tokyo's defence ministry said the projectiles fell short of Japanese waters and the country's exclusive economic zone.
The nuclear-armed North has yet to issue a statement on Sunday's missiles but attributed its three other launches this month – all of which landed in the Sea of Japan – to "long-range artillery" drills.
It last week fired what Seoul said were two short-range ballistic missiles, describing them as a new "tactical guided weapon".
North Korean state media announced the following day that the country's leader Kim Jong-un had received a letter from US President Donald Trump detailing a plan to develop ties – a move later confirmed by a White House official.
The report cited Kim's powerful sister Kim Yo-jong, who warned that the apparently good personal relationship between the two leaders would not be enough to foster broader relations.
Trump "explained his plan to propel the relations between the two countries... and expressed his intent to render cooperation in the anti-epidemic work," she said in a statement published by the Korean Central News Agency (KCNA).
North Korea is one of the few remaining countries in the world yet to report a case of novel coronavirus infection.
But the outbreak has turned into a major international crisis, with more than 640,000 confirmed cases and 30,000 dead worldwide.
There has also been widespread speculation that the virus has reached the isolated nation, and health experts have warned that it could devastate the country given its weak medical infrastructure and widespread malnutrition.
Sunday's launch was intended to show the country was running normally during the pandemic, said Kim Dong-yub, a researcher at the Seoul-based Institute for Far Eastern Studies.