North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki

North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki

Ukisema unaamini, maana yake ni kuwa una hakika na hicho wachokizungumza.

Tupe uhakika wako nasi tuweze kuamni kama wewe.
huwezi zuia kila kitu na iyo mipaka haifungwi kama chupa ya chai, waache wafiche na waugulie ndani kwa ndani
 
huwezi zuia kila kitu na iyo mipaka haifungwi kama chupa ya chai, waache wafiche na waugulie ndani kwa ndani
Duh... kazi kweli kweli.

Asante mkuu, inawezekana twatofautiana kuelewa maana ya "kuamini"

Mimi ningeombwa uhakika na ninachoamini ningetoa vidhibiti vilivyopelekea mpaka niwe nimekubali jambo husika pasi na shaka yoyote.

Nisingeweza kutoa tena dhana au madai.
 
Tatizo la upupu hauna mipaka mkuu. Sijajua uwezo wa taifa lake katika sekta la Afya ukoje.
Atakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.
 
Atakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.
Acha maisha ya kukariri Mkuu.

Hakuna atayepeleka pua yake pale North Korea (NK).

Kama Iran ambaye, kidogo huwa ana akili timamu, aliwahenyesha Marekani kwa makombora ya balistiki nchini Iraq (tena kabla ya corona) na wameshaanza kufunga virago vyao na coalition yao, nakuhakikishia hakuna atayepeleka pua yake pale NK.

Kiduku ni mwehu, yeye hatumi kombora la balistiki tuputupu, anawekeamo na vichwa vya nyuklia.
 
Hata ninachokijadili haujakielewa.
 
Atakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.
Ila mkuu kumbuka na ninyi kama dunia mmemuwekea vikwazo kila secta... Hamkumpa nafasi ya kukaa na ninyi,uchumi,kijeshi,kijamii ivyo na yeye anafanya anayoona yanamfaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ninachokijadili haujakielewa.
Sawa, basi usimpangie cha kufanya.

Mwache aendelee lipua mavyuma yake, na nyie corona ikiisha mlipue mavyuma yenu (kama mna uwezo)

Ukihitaji maelezo zaidi kuhusu mavyuma yake aliyolipua, pitia hapa chini.

2020-03-30 00.41.19.jpg
 
Hehehe! Huyu dogo huchekesha kwa kweli, yeye anawaza makombora wakati dunia ipo kwenye magoti ikiomba poo kwa Corona.
Kama vipi huu ndio muda wa kukinukisha, aelekeze hilo dubwana moja kwenda US, yaani alianzishe ili dunia imkome....
Bangi anayovuta huyu dogo sio ya kawaida.
 
Sawa, basi usimpangie cha kufanya.

Mwache aendelee lipua mavyuma yake, na nyie corona ikiisha mlipue mavyuma yenu (kama mna uwezo)

Ukihitaji maelezo zaidi kuhusu mavyuma yake aliyolipua, pitia hapa chini.

View attachment 1403474
Huna sababu ya kuendelea kuleta vielelezo juu ya jambo ambalo tayari haulielewi linamaanisha nini? Kati ya Mpumbavu wa mwisho na mpumbavu wa kwanza ungechagua nafasi ipi?
 
Huu uzi nime-subscribe maana nategemea kucheka kwa comments zitakazokuja muda usio mrefu..............
Mapanki kaamua yeye ni mwendo wa makombora tu, hana time na hayo makorona, ila nashuku huyu kwake lazima anawatia shaba wanaogundulika kuwa na kirusi, hapendi kucheweleweshwa.
 
Najiuliza haya majaribio ya siraha ya bwana kiduku yana faida gani kwa raia wa nchi yake? Usijekuta yanafaida kwa utawala wake kumfanya aendelee kukaa madarakani lakini kwa uchumi wa raia wa kawaida yakawa hayana faida yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna sababu ya kuendelea kuleta vielelezo juu ya jambo ambalo tayari haulielewi linamaanisha nini? Kati ya Mpumbavu wa mwisho na mpumbavu wa kwanza ungechagua nafasi ipi?
Mpumbavu zaidi ya woote ni yule ambaye aita teknolojia (ambayo mwenyewe, koo yake na nchi yake kwa ujumla hawajaifikia wala kuiota) mavyuma.

Wakati huo huo uwezo wa nchi yake kuzalisha walau gobore haina.

Mmekalia kukariri theory tu pasi na kuziweka ktk vitendo, matokeo yake hadi vijiti vya kuchokoa meno mnategemea kutengenezewa na mchina.
 
Najiuliza haya majaribio ya siraha ya bwana kiduku yana faida gani kwa raia wa nchi yake? Usijekuta yanafaida kwa utawala wake kumfanya aendelee kukaa madarakani lakini kwa uchumi wa raia wa kawaida yakawa hayana faida yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, corona haiwezi kusitisha shughuli nyinginezo za tafiti za teknolojia za kisasa.

Labda ifikie hatu ya corona ya US, Italy, Spain n.k.

Mambo yote yanafanywa kwa wakati mmoja.

Tafiti za mambo ya silaha za kujilinda na kumuadhibu adui ambaye mara zote atamani kuifuta Korea, zaendelea pasi kukoma. Na adui mwenyewe aogopa kila hatua inayopigwa. Na hilo twalishuhudia kupitia kubweka kwa adui na washirika/vibaraka wake.

Nchi zinazojitambua zina wataalamu ktk fani mbalimbali.

Wapo wataalamu na watafiti wa mambo ya kiuchumi, wapo wa kilimo, wapo wahandisi, wapo wa mambo ya afya, wapo wa mambo ya silaha, usalama n.k

Kila mmoja ana jukumu lake na analitekeleza ipasavyo huko NK.

Na ukifatilia habari za sasa utaona tafiti nyingine, mbali ya hizi za silaha, zafanywa na kutangazwa na NK ktk hiki hiki kipindi cha corona.
 
Mapanki kaamua yeye ni mwendo wa makombora tu, hana time na hayo makorona, ila nashuku huyu kwake lazima anawatia shaba wanaogundulika kuwa na kirusi, hapendi kucheweleweshwa.
Mkuu acha kujitoa ufahamu, Mapanki alichukua kabla na anaendelea kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na korona zaidi hata ya zinazochukuliwa na nchi kibao za Afrika...alitutangulia, aliwatangulia.

Acha awatie shaba kwa mawazo yako. Maana hata nchi nyingine kabla ya corona huwa zawatia shaba raia wake.

Kim anafahamu adui zake, hasa MAWIGI, wanapenda mziki gani. Kuna huyu hapa chini, pamoja na kuwa raia wake wanateketea kwa corona, lakini katuma ndege kukukusanya umbea baada ya kusikia Kiduku kaongea ile lugha kubwa.

2020-03-30 08.59.25.jpg
 
Kweli mkuu, wacheze na wote ila sio mapanki, huyu hawatofanya mas-hara ata kidogo, wanamuelewa vizuri
Acha maisha ya kukariri Mkuu.

Hakuna atayepeleka pua yake pale North Korea (NK).

Kama Iran ambaye, kidogo huwa ana akili timamu, aliwahenyesha Marekani kwa makombora ya balistiki nchini Iraq (tena kabla ya corona) na wameshaanza kufunga virago vyao na coalition yao, nakuhakikishia hakuna atayepeleka pua yake pale NK.

Kiduku ni mwehu, yeye hatumi kombora la balistiki tuputupu, anawekeamo na vichwa vya nyuklia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JIMBO DOGO LA CHINA NI NORTH KOREA, nakumbuka marekani alipokua akimtisha N.k kuwa atatumia silaha kali, china alisema hatokubali vita ya Nuclear ipigwe jirani kwake,, nina uhakika China alikua anasubiria kinuke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom