dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
huwezi zuia kila kitu na iyo mipaka haifungwi kama chupa ya chai, waache wafiche na waugulie ndani kwa ndaniUkisema unaamini, maana yake ni kuwa una hakika na hicho wachokizungumza.
Tupe uhakika wako nasi tuweze kuamni kama wewe.
Duh... kazi kweli kweli.huwezi zuia kila kitu na iyo mipaka haifungwi kama chupa ya chai, waache wafiche na waugulie ndani kwa ndani
Atakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.Tatizo la upupu hauna mipaka mkuu. Sijajua uwezo wa taifa lake katika sekta la Afya ukoje.
Acha maisha ya kukariri Mkuu.Atakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.
Hata ninachokijadili haujakielewa.Acha maisha ya kukariri Mkuu.
Hakuna atayepeleka pua yake pale North Korea (NK).
Kama Iran ambaye, kidogo huwa ana akili timamu, aliwahenyesha Marekani kwa makombora ya balistiki nchini Iraq (tena kabla ya corona) na wameshaanza kufunga virago vyao na coalition yao, nakuhakikishia hakuna atayepeleka pua yake pale NK.
Kiduku ni mwehu, yeye hatumi kombora la balistiki tuputupu, anawekeamo na vichwa vya nyuklia.
Chumba cha rubani wapi😁😁
Ila mkuu kumbuka na ninyi kama dunia mmemuwekea vikwazo kila secta... Hamkumpa nafasi ya kukaa na ninyi,uchumi,kijeshi,kijamii ivyo na yeye anafanya anayoona yanamfaaAtakachofanyiwa kitamtibu akili, dunia sasa inaungana kupambana na CODIV-19 (Bio Weapon) yeye yupo busy kulipua machuma.
Sawa, basi usimpangie cha kufanya.Hata ninachokijadili haujakielewa.
Huna sababu ya kuendelea kuleta vielelezo juu ya jambo ambalo tayari haulielewi linamaanisha nini? Kati ya Mpumbavu wa mwisho na mpumbavu wa kwanza ungechagua nafasi ipi?Sawa, basi usimpangie cha kufanya.
Mwache aendelee lipua mavyuma yake, na nyie corona ikiisha mlipue mavyuma yenu (kama mna uwezo)
Ukihitaji maelezo zaidi kuhusu mavyuma yake aliyolipua, pitia hapa chini.
View attachment 1403474
Mpumbavu zaidi ya woote ni yule ambaye aita teknolojia (ambayo mwenyewe, koo yake na nchi yake kwa ujumla hawajaifikia wala kuiota) mavyuma.Huna sababu ya kuendelea kuleta vielelezo juu ya jambo ambalo tayari haulielewi linamaanisha nini? Kati ya Mpumbavu wa mwisho na mpumbavu wa kwanza ungechagua nafasi ipi?
Mkuu, corona haiwezi kusitisha shughuli nyinginezo za tafiti za teknolojia za kisasa.Najiuliza haya majaribio ya siraha ya bwana kiduku yana faida gani kwa raia wa nchi yake? Usijekuta yanafaida kwa utawala wake kumfanya aendelee kukaa madarakani lakini kwa uchumi wa raia wa kawaida yakawa hayana faida yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kujitoa ufahamu, Mapanki alichukua kabla na anaendelea kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na korona zaidi hata ya zinazochukuliwa na nchi kibao za Afrika...alitutangulia, aliwatangulia.Mapanki kaamua yeye ni mwendo wa makombora tu, hana time na hayo makorona, ila nashuku huyu kwake lazima anawatia shaba wanaogundulika kuwa na kirusi, hapendi kucheweleweshwa.
Acha maisha ya kukariri Mkuu.
Hakuna atayepeleka pua yake pale North Korea (NK).
Kama Iran ambaye, kidogo huwa ana akili timamu, aliwahenyesha Marekani kwa makombora ya balistiki nchini Iraq (tena kabla ya corona) na wameshaanza kufunga virago vyao na coalition yao, nakuhakikishia hakuna atayepeleka pua yake pale NK.
Kiduku ni mwehu, yeye hatumi kombora la balistiki tuputupu, anawekeamo na vichwa vya nyuklia.
Kweli mkuu, wacheze na wote ila sio mapanki, huyu hawatofanya mas-hara ata kidogo, wanamuelewa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app