North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki

Mh. Rais Trump mimi nashauri aongee na huyu mtu wakubaliane na wasiwe mageugeu wote wawili. Huyu mtu siku akija kwa bahati mbaya, Mungu apishie mbali, akakosea halafu kombora lake likaangukia Nchi jirani, yatakuwa ni maafa makubwa haijawahi kutokea
 
True mkuu huyo sio binadamu wa kawaida kwa karne hii ila NK IRAN nawapenda sana awana uwoga wao wazee ukibip wanatwanga chap
 
Uyu jamaa namkubali hanaga shobo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
True mkuu huyo sio binadamu wa kawaida kwa karne hii ila NK IRAN nawapenda sana awana uwoga wao wazee ukibip wanatwanga chap
Hawana Mambo Mengi Yaani Ukibip Wanaenda Kwahewa Mazima Yaani.....

Sent using My COVID-19
 
Chumba cha rubani wapi😁😁
Maujanja yote yapo Equipment Room nafikiri siri ya haya madude imefichwa hapo. US dude moja linagharma ya $359 million, sasa ya huyu mapanki sijui itakuwaje.
 
True mkuu huyo sio binadamu wa kawaida kwa karne hii ila NK IRAN nawapenda sana awana uwoga wao wazee ukibip wanatwanga chap
Hapana mimi nakukatalia. Huyu Raisi wa NK huwa hapendi kutishwa na anaweza kufanya chochote ukiwa unamtishia. Ni jasiri , majasiri huwa wako hivyo. Mtu jasiri ukimtishia ukadhani ndiyo ataogopa, unamwaga petroli kwenye moto. Mh Rais Trump aongee na huyu mtu kama ndugu, au kama mtoto wake waelewane yaishe. Ni mwadilifu sana ukimfuata kidiplomasia, mimi nampenda sana siku hizi
 
US siwaamini kabisaa, net worth ya MO dewji ni $1.6 billion, yaan unamaanisha akinunua hayo madude matano tu hana kitu?
Maujanja yote yapo Equipment Room nafikiri siri ya haya madude imefichwa hapo. US dude moja linagharma ya $359 million, sasa ya huyu mapanki sijui itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US siwaamini kabisaa, net worth ya MO dewji ni $1.6 billion, yaan unamaanisha akinunua hayo madude matano tu hana kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dollar imetapakaa Dunia nzima, kwanini washindwe tengeneza toy la gharama hizo. Lakini kweli hata wenyewe wanatetemeka kwa hizo gharama ndio maaama wanatafuta makombora hatari kwa gharama ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…